Je, unamjua Godfrey Msongwe Kasekenya

In fact,
the gentleman and very brilliant and able politicians, amefanya kazi na hayati Dr.John Magufuli kwa muda mrefu zaidi na wengine, na kwahivyo, kwa kiasi kikubwa ana hulka na haiba ya utendaji na ufuatiliaji kama Dr.JPM.

Jambo la muhimu sana kufahamu katika siasa ni kwamba, politics is dynamic in nature, and there are two constants in politics; namely 1.betrayal, and 2. is interests.

Do you think,
the current political dynamics and political interests is favorite to the gentleman hata awe waziri kamili?

By the way,
the man has capacity, experience and ability to be a full minister, but political dynamics favors others than him at a moment, but at any time the man can be,

it's a matter of time tu gentleman πŸ’
 
Vilevile aliwahi kufanya kazi TRC miaka ya nyuma sana kabla ya kujiingiza kwenye siasa. Alikuwa upande wa signal & telecommunications kama sijakosea.
 
Ni SNITCH na yuko hapo rasmi kwa kazi hiyo
 
Umeweka hoja nzuri sana mkuu. Na ndiyo maana swali langu bado linasimama: kama ana uwezo, uzoefu na amekuwa akiaminika kuendelea katika sekta ya Ujenzi chini ya mawaziri tofauti, ni nini hasa kinachokosekana kwake kuwa Waziri kamili?
Huenda kweli ni suala la political dynamics na interests kama ulivyosema. Lakini kwa upande mwingine, kama anaendelea kuaminiwa katika sekta hiyo kwa muda wote huo, inaonyesha kuna kitu anafanya vizuri.
Labda kweli ni suala la muda tu. Time will tell.
 
Binafsi namjua in and out politically,
the gentleman ana uwezo mkubwa, huenda kuzidi wanasiasa na viongozi wengi sana serikali kuu,


ni muhimu aendelee kua mstahilivu na mwenye subra, wakati wake muafaka wa kuonekana ukifika, hapatakua na wa kumshusha chini bali kumpandisha juu zaidi katika utumishi wa umma.

In politics,
nothing happens out of mere coisidence, everything are normally well planned, organized, scripted and executed in order to achieve a certain political objectives.

mimi na wewe inafaa kua wastahilivu na wenye subra pia, na kwamba huenda muungwana anaandaliwa na Mwenyezi Mungu kua somebody else katika nchi hii hapo mbeleni πŸ’
 
Kama ni mzuri, ipo siku anaweza kuibukia kwenye UPM au zaidi. Majaliwa alitokea Unaibu hadi Uwaziri Mkuu.
Hope mleta mada amejenga hoja
After kuona kadogosa ameruka Kasekenya kutoka benchi la nyuma hadi Uwaziri kamili
 
Upo sahihi mkuu

Umeongea kwa mtazamo mpana sana.

Huenda kweli kuna mambo ambayo sisi hatuyaoni kwa sasa. Cha msingi ni kusubiri na kuona; kama una uwezo na utendaji wake unatambulika, wakati wake ukifika tutajua.
Kwa sasa, hoja yangu ilikuwa ni kujiuliza tu: kwa nini ameendelea kubaki kwenye sekta ya Ujenzi kwa muda mrefu huku mawaziri wakibadilika? Huenda jibu lake likawa ndani ya hiyo political dynamics uliyoieleza. πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…