Je unajua tofauti ya aina hizi za battery za simu Li-Po na Li-Ion.

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
167
Kuna tofauti gani kati ya aina hizi mbili za battery Li-Po na Li-Ion ipi ni bora.?
 
Kulazimika kubadilisha material yanayotengenezea batteries (chemical composition)
Ni kutokana na uhitaji wa sasa,
Li-po batteries zina faida ya ziada kulinganisha na li-ion

Hazilipuki kirahisi,
Inachukua mda mrefu kuanza kupungua ubora
Ni nyepesi
Zina support kirahisi fast charge
Ni rahisi kui shape katika shape tofauti tofauti kulingana na sehemu inapotakiwa i fit.

N.k n.k, hivyo ukiangalia hapo utaona kwa tulipo na tunakoelekea basi haziepukiki,
Watu wanataka simu nyepesi, kumbuka moja ya kitu kinachobeba uzito mkubwa kwenye simu ni battery,

Watu wanataka simu zinazokua charge kwa upesi,

Watu wanataka Simu salama, Sio kama zamani unakuta battery inavimba mwishowe kupasuka au hata kuwaka moto, unakumbuka Note 7????
 
Back
Top Bottom