Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

tatizo umewaandaa watu kisAikolojia kuwaletea nondo ambayo inakua zaidi ya hapo,,,
ok anyway unania nzuri lakini
 
hivi hela ambayo mtu ametumiwa kupitia mtandao mwengine unaitoaje..?
Sijakuelewa vizuri ila sasa hivi huna uwezo wa kumtumia mtu wa mtandao mwingine directly ikaingia ktk accont yake iwe ya tigopesa mpesa ezypesa au airtel zamani ilikuwepo ya kumtuma pesa kwa njia ya sms ambayo mteja anaweza kupokea na kutoa tu
 
Namaanisha kuna hela inatumwa mfano na mtu wa mpesa kwenda kwa mteja wa tigo,huyu mtu wa tigo anaambiwa aende kwa wakala wa mpesa ili aitoe.. sasa nikivipi hiyo hela inatoka(elezea kinagaubaga)
 
Namaanisha kuna hela inatumwa mfano na mtu wa mpesa kwenda kwa mteja wa tigo,huyu mtu wa tigo anaambiwa aende kwa wakala wa mpesa ili aitoe.. sasa nikivipi hiyo hela inatoka(elezea kinagaubaga)
Hiyo pesa inakuwa imetumwa kwa njia ya voucher ie sms kwenye sms kuna code ambazo wakala anaziingiza ktk simu yake ya uwakala na kisha anakukabidhi pesa taslimu uliyotumiwa pesa hiyo inakuwa tayari ishalipiwa gharama zote za kutolea
 
nimekuchana ndo maana na kauzi kamejifia...mtindo wako ulikuwa ni wa kujispam mwenyew. shenz
To be honest this thread was not for short mind people like you kindly accept you have some personal problems before too late
 
Back
Top Bottom