The genius62
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 200
- 167
tatizo umewaandaa watu kisAikolojia kuwaletea nondo ambayo inakua zaidi ya hapo,,,
ok anyway unania nzuri lakini
ok anyway unania nzuri lakini
Sijakuelewa vizuri ila sasa hivi huna uwezo wa kumtumia mtu wa mtandao mwingine directly ikaingia ktk accont yake iwe ya tigopesa mpesa ezypesa au airtel zamani ilikuwepo ya kumtuma pesa kwa njia ya sms ambayo mteja anaweza kupokea na kutoa tuhivi hela ambayo mtu ametumiwa kupitia mtandao mwengine unaitoaje..?
Namaanisha kuna hela inatumwa mfano na mtu wa mpesa kwenda kwa mteja wa tigo,huyu mtu wa tigo anaambiwa aende kwa wakala wa mpesa ili aitoe.. sasa nikivipi hiyo hela inatoka(elezea kinagaubaga)Sijakuelewa vizuri ila sasa hivi huna uwezo wa kumtumia mtu wa mtandao mwingine directly ikaingia ktk accont yake iwe ya tigopesa mpesa ezypesa au airtel zamani ilikuwepo ya kumtuma pesa kwa njia ya sms ambayo mteja anaweza kupokea na kutoa tu
Hiyo pesa inakuwa imetumwa kwa njia ya voucher ie sms kwenye sms kuna code ambazo wakala anaziingiza ktk simu yake ya uwakala na kisha anakukabidhi pesa taslimu uliyotumiwa pesa hiyo inakuwa tayari ishalipiwa gharama zote za kutoleaNamaanisha kuna hela inatumwa mfano na mtu wa mpesa kwenda kwa mteja wa tigo,huyu mtu wa tigo anaambiwa aende kwa wakala wa mpesa ili aitoe.. sasa nikivipi hiyo hela inatoka(elezea kinagaubaga)
Huna lolote attention seeker...unatafuta kujaza replies tu...customer careOk kila mtu ana style yake thread zipo nyingi kama hii inakuboa pita kushoto mkuu matusi ya nini
nimekuchana ndo maana na kauzi kamejifia...mtindo wako ulikuwa ni wa kujispam mwenyew. shenzHater una shida last comment on you imbacile
Nini?ziko wapi sasa ?