Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

Voda noma sana, tar 15 Des 2017, nlinunua kifurushi kwa mpesa ikaja msg kuwa nijaribu baada ya dk 10, baada ya nusu saa nikanunua tena wakasema tayari nimeisha nunua na hela wakakata, baadae wakasema muamala haukufanikiwa, mpaka leo hela haikurudi wala kifurushi ckupata, nimepiga cm mara kibao, majibu ni kuwa hela inarejeshwa. Voda wazushi kweli.
Nimeumua kuhamia halotel.
Miamala ya namna hii ni migumu sana sio kwa voda hata tigo pia inawatokea wengi hununua kifurushi ila hawapati na hela inakuwa ishakatwa ila huwa wanarudisha japo inachukua muda mrefu sana ila kuhama mtandao sio solution mkuu
 
Inawezekana population imekuwa kubwa wanashindwa kuhudumia, Bora tuhamie kwa wachache nao wakue
 
Sasa ukikosea kutuma hela unahitaji huduma ya haraka ndo hvyo kusubirishwa tena mpk huko ulipomtumia anatoa hela
Nilipokuwa Voda walikuwa na namba ya kulipia hiyo hakawii kabisa nahisi bado wanayo ila tigo mpaka sasa hawana ilo tatizo mdau
 
Nilipokuwa Voda walikuwa na namba ya kulipia hiyo hakawii kabisa nahisi bado wanayo ila tigo mpaka sasa hawana ilo tatizo mdau
Oky hyo ya voda ni ipi ili itusaidie ukipata tatizo la haraka
 
Inawezekana population imekuwa kubwa wanashindwa kuhudumia, Bora tuhamie kwa wachache nao wakue
Yeah sure ila nao wanachangamoto yao hivyi vikampuni vidogo customer care yao bado changa halotel usiku hakuna huduma kwa wateja FYI
 
Oky hyo ya voda ni ipi ili itusaidie ukipata tatizo la haraka
Nimeisahau kidogo jaribu kuwapigia in case hujaipata ni PM within 24hrs ntawacheck marafiki zangu wa Voda HQ
 
Maswali yako umejiuliza na ukatamba kutolea sababu ,ila naona umejipa jukumu na kulikwepa jukumu lako.
Swali " je, unajua sababu ya Miamala kuchelewa kurudishwa ? "
Nikajua utatuambia sababu za kwa nini "mfano nimekosea kutuma hela labda Leo hii kwa MTU nisiyemjua afu nikaambiwa nisubili masaa 48 na hela itarudishwa, why 48 hrs na sio DKK moja! ".
Sijui kama swali lako ww mwenyewe kama utakuwa umelielewa?
Rejea swali lako afu uje na Majibu husika.
Ova.
 
mleta mada ni majanga
 
Sabubu
Miamala kuchelewa hasa ile mikubwa mosi ushapu wa watoa huduma pili mazingira ya muamala na tatu mawasiliano baina ya pande husika wa muamala ie mtumaji na mpokeaji
Endapo mawasiliano yakapatikana na wote wakaafiki kwamba pesa ilikwenda kimakosa basi hela hurudishwa ndani ya masaa 12 mpaka 24 ikatokea mmoja hapatikani muda wa kushughulikia muamala husogezwa mbele ila haizidi siku tano
Mm mbona yangu walikaa nayo zaidi ya siku tano mpk nilipofata ukouko waliko na kichambo juu.
 
Mm mbona yangu walikaa nayo zaidi ya siku tano mpk nilipofata ukouko waliko na kichambo juu.
Safi acha nikupongeza kwanza miamala mikubwa sometimes ni ya lawama hata wafanyakazi wanaikimbia kimbia ila ukiwajia juu mbona wanakurudishia fasta
 
mleta mada ni majanga
Unapewa masaa 48 coz muamala unapitia process kwaza verification na authetification ya muamala pili location identification tatu communication btn sender na wrong receiver baada ya hapo ni approval ya muamala mkuu ova
 
hivi hela ambayo mtu ametumiwa kupitia mtandao mwengine unaitoaje..?
 
Tigo wanashiriki kupoteza fedha zetu; mpaka Leo hawajanirejeshea salio nililokosea kutuma mwaka 2017
 
Tigo wanashiriki kupoteza fedha zetu; mpaka Leo hawajanirejeshea salio nililokosea kutuma mwaka 2017
Ni PM number yako na tarehe ya muamala nikufurahishe mkuuu leo nipo kwenye mood kweli
 
Back
Top Bottom