papiso
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 391
- 228
- Thread starter
- #21
Miamala ya namna hii ni migumu sana sio kwa voda hata tigo pia inawatokea wengi hununua kifurushi ila hawapati na hela inakuwa ishakatwa ila huwa wanarudisha japo inachukua muda mrefu sana ila kuhama mtandao sio solution mkuuVoda noma sana, tar 15 Des 2017, nlinunua kifurushi kwa mpesa ikaja msg kuwa nijaribu baada ya dk 10, baada ya nusu saa nikanunua tena wakasema tayari nimeisha nunua na hela wakakata, baadae wakasema muamala haukufanikiwa, mpaka leo hela haikurudi wala kifurushi ckupata, nimepiga cm mara kibao, majibu ni kuwa hela inarejeshwa. Voda wazushi kweli.
Nimeumua kuhamia halotel.