Kuna kitu kimoja cha ziada, uki upload picha Facebook, Instagram, au WhatsApp, hizi platforms huwa zinafanya auto scrubbing yani zinafuta metadata ili kulinda privacy yako dhidi ya watumiaji wengine.
But hizi kampuni huwa zinatunza original copies kwenye server zao, ikitokea Polisi wakiwa na legal warrant, wanaweza kutoa kila kitu kukuhusu kwa hao polisi. Hapa ndipo huwa wanadakwa wengi.