Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 5,130
- 6,360
Karibuni katika uzi huu ....kwa suala moja tuu la kushauriana namna gani juu ya kuishi katika mazingira ya wapangaji wenye tabia mbili au tatu zinazo kinzana kibinafsi kama umbea ..., majungu..., u gubu ...,maneno machaf ...., kuseng'enya maisha ya wengine...,
karibuni tushauriane njia nzuri za kuishi mazingira ya namna hii ..,
waweza suggest njia zipi ama unazo tumia kuishi mazingira ya aina hii...,
mfano wa njia hizi ni kama ki gentleman agreement kama vile kuwapotezea , no discussion , ni wewe tu na maisha yako na kichwa chako.... , au ku wa chana live bila chenga...............au kuhama ?
KARIBU.