Je, unaishije au uliishije na wapangaji wambea?

Je, unaishije au uliishije na wapangaji wambea?

Ukiwa busy ni ngumu hata kuwaona usoni.... mchana hawana kazi,kazi yao kubwabwaja,wewe upo kazini unarudi usiku yamechoka yamelala,au mengine yapo kumwagiwa huko,yamechoka ...yanalala fofofo,kuamka saa 3 au 4 muda huo wewe upo kazini....saa ngapi naošŸ™„
Kwenye kumwagiwa sasa
 
Huwa wanachungulia na dirishani kwenye pembe hivi wakisogeza pazia kidogo
Uswahilini unaibiwa nguo mchana, kila mtu anasema sijui, hajaona, alikuwa bize.
Usiku ukiingiza demu, asubuhi taarifa zimetapakaa, wanajua mpaka kama alivaa kikuku cha dhahabu ama silver 🤣
 
Picha linaanza .....una panga mahali wapangaji wanoko wao kila siku majungu tuu ,, maneno machafu hata kufanya ya maana hamna ....kazi kuu ni kuseng'enya wapangaji wachakalikaji

ukitumia njia ya ki gentleman agreement kama vile kuwapotezea , no discussion , ni wewe tu na maisha yako na kichwa chako....wana kuletea maneno chungu mzima ....kama anajiona kayapatia , mkorofi.....n.k

je wewe ulitumia au una tumia njia zipi kuishi nao ?

ISSUE ZA KUHAMA MAHALI SIO ...WEEE UNAONA HAPO NDO PAKUJITAFUTA...NA KUJIPATA KIUCHUMI.....BIG NOOOOOOOOOOOOOOOO KUHAMA...........


KARIBU.
We unakuaga wapi wakati wanakusema na ulijuaje?

Naona kama wewe Ndio una wafuatilia hivi.
 
Ni stori ndefu ndio maana sijaandika, ila ilikua kila akirudi ni mwendo wa kelele tu ila mwishowe nikambandua ndio amani ikaja sasa
sema kutia toia ovyo nako ni kubeba mnuksi tuuuu
 
Piga buyu ni salamu tu bnafs kuna mtaa naishi hawanijui jna mpk mwny nyumba hajui jna langu nmempa jna fake kwny mkataba hawajui mishe zng wala ni mwenyeji wa wp mambo meng namtumia wife naye nlipogundua anaanza mazoea na hao wajinga nikamfungulia biashara anaamka alfajiri anatengeneza biashara yake anapeleka sokon kurud saa 4 asbh yuko hoi anaanza kaz za home mpk amalize hoi huo muda wa kupoteza hana.
 
Alafu age nayo inakimbia balaa mara pap 40 hii hapa alafu hauna mke wala mtoto inakua imetoka hiyo
 
Back
Top Bottom