RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
Jiulize dunia na wanadamu wamekuwepo tangu miaka milioni ngapi?
Na je katika miaka yote hiyo wewe unaishi sasa tu na hautaishi tena hapa duniani?
Pamoja na uwepo wa imani zinazokubali uwepo wa Mungu na mafundisho yake, hebu jipe changamoto ya maswali hayo;
Swali la msingi:-
Ni kweli unaishi kwa bahati nasibu kwa kipindi hiki tu? (kilichostaarabika kati ya mamilioni ya miaka iliyopita na itakayokuja)
NB:Fikiri kwa uhuru!

Last edited by a moderator: