Je, unaingia na mahusiano mzigo 2014?

Je, unaingia na mahusiano mzigo 2014?

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Piga chini mpenzi/mchumba ambaye amekuwa mzigo katika wizara yako ya mahusiano - please do at your own risk.

Baada ya trend za kutumia bastola, kujilipua, kulipua nyumba, kujikata dushe au k kushindwa kuleta tija kwa wengine, sasa ni zamu yako kujitafakari na kufanya maamuzi kama mpenzi wako mzigo unaingia naye 2014 au lah!

Pia kama unajijua wewe ni mzigo kwa mwenzio, resign bila shurutu.

Ukiendelea kung'ang'ania na kuleta ubishi subiri operesheni tokomeza mizigo.

Kwa mliooa/kuolewa mizigo yenu haishushiki - mkafie mbele.

Happy New Year 2014.
 
duuuuh. sie wengine tumeshajizira...... mahaba niue tu.........
 
Piga chini mpenzi/mchumba ambaye amekuwa mzigo katika wizara yako ya mahusiano - please do at your own risk.

Baada ya trend za kutumia bastola, kujilipua, kulipua nyumba, kujikata dushe au k kushindwa kuleta tija kwa wengine, sasa ni zamu yako kujitafakari na kufanya maamuzi kama mpenzi wako mzigo unaingia naye 2014 au lah!

Pia kama unajijua wewe ni mzigo kwa mwenzio, resign bila shurutu.

Ukiendelea kung'ang'ania na kuleta ubishi subiri operesheni tokomeza mizigo.

Kwa mliooa/kuolewa mizigo yenu haishushiki - mkafie mbele.

Hivi nikitaka kujikata K.........natumia njia gani.......?
 
Hahahahaha tumia hii.
Screw_Driver_display.jpg
 
Piga chini mpenzi/mchumba ambaye amekuwa mzigo katika wizara yako ya mahusiano - please do at your own risk.

Baada ya trend za kutumia bastola, kujilipua, kulipua nyumba, kujikata dushe au k kushindwa kuleta tija kwa wengine, sasa ni zamu yako kujitafakari na kufanya maamuzi kama mpenzi wako mzigo unaingia naye 2014 au lah!

Pia kama unajijua wewe ni mzigo kwa mwenzio, resign bila shurutu.

Ukiendelea kung'ang'ania na kuleta ubishi subiri operesheni tokomeza mizigo.

Kwa mliooa/kuolewa mizigo yenu haishushiki - mkafie mbele.

haaaa kwa hiyo kuolewa mzigo haushushiki??aaa wapi? Labda kama tumeunganishwa viungo vya mwili!
 
dr hebu mtafute ngariba wa kimaasai aichimbuchimbue...

Nataka niitoe mwenyewe Dr.......nikiwa na hasira ngariba naweza nisimpate.......
Halafu Dr.......nisamehe bure......si unajua tena mambo ya jana......halafu.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom