Aiseee huyu Gs miguu ya nyuma mirefu kuliko ya mbele haki ni crossbreed Walahi .
Kama huwajui mbwa ni busara kuachia thread ipite. Unaonesha ujuha wako unapoamua ku comment kila post. Kwa taarifa yako GSP pure huwa na miguu ya nyuma mifupi. Busara ni kuchunga kinywa chako kwa usilolijua.