Hassana_mtunzi
Member
- Jan 26, 2017
- 7
- 3
Hahaacopyright na umbwa koko niliyemfuga...
yaani habweki wala nini.! kazi kutingisha kiuno na mkia 24hrs
Hapana mkuu umedanganya mchana kweupee huyu anaitwa koko ukitaka kutaja jina lake ita mbwakokoHUYU HANA MCHANYIKO WA GERMAN SHERPHAD WOWOTE
ANAITWA MACHO MANNE
Hahahaa kwamba nimedanganyaeeHapana mkuu imedanganya mchana kweupee huyu anaitwa koko ukitaka kutaja jina lake ita mbwakoko
Hili jike mama german na baba rot...kama vip google picha za mixer. Alafu sasa hawa watoto wake baba yao german...nazan umepata picha cha ubishi wanguHahahaa kwamba nimedanganyaeeView attachment 947572
Exactly but it is a mixerRottwerer
Wewe ndio uwajui...kama vipi google utapata pichaehehehehhe hauko serious wewe na hiyo ndo crossbreed ya GS na R.W?
Weka mbali na watoto...Wewe ndio uwajui...kama vipi google utapata picha
Ni mcahanganyiko wa German sherphad na Rottwerer...
Wanapatikana bunda mkoa wa mara.
Kwa sasa wana siku 23 ya umri.
0766274705
Rottwerer
[emoji23][emoji23][emoji23]copyright na umbwa koko niliyemfuga...
yaani habweki wala nini.! kazi kutingisha kiuno na mkia 24hrs
Bei mdau?Hahahaa kwamba nimedanganyaeeView attachment 947572
Aiseee huyu Gs miguu ya nyuma mirefu kuliko ya mbele haki ni crossbreed Walahi .Hahahaa kwamba nimedanganyaeeView attachment 947572