DONALD
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 275
- 35
Kama unahitaji line ya M PESA
fuata maelekezo yafuatayo:-
i) TIN No.
ii)Lesseni ya biashara (iwe ndogo au kubwa),leseni ya biashara ni rahisi sana kupata,ulizia mamlaka husika
iii)Kitambulisho chako.
..line kutoka inachukua wiki 3 mpaka mwezi,na gharama ya line 1 ni kilo 2 tuu!
Kuna ambazo zilishatumitumiwa na mawakala wengine,so ukitaka kuchange jina liwe lako,mahitaji ni hayo hayo apo juu! ila unaweza endelea kutumia bila kuchange jina,so hayo mahitaji apo juu hayatakuhusu...!
kwa nayehitaji tu anicheki apa 0755 927881................