Je unahitaji laptops /desktop bora

mwihavag

Member
Mar 12, 2016
73
22
Kwa Mahitaji yako yote ..ushauri..na utengenezaji na
Kwa ajili picha zaidi njoo PM
Or Whatsaap
0716889489
 
220057dc47a34e72357a291ac254570b.jpg
 
Ukishaanza hbr za PM mkuu zaidi ya kutoa picha kuwa hauko siriaz na tangazo lako bali pia haujiamini au huamini bidhaa au huduma unayoiuza.Aidha unapanga kuwa na bei tofauti kwa Kila mteja. Mbaya zaidi jf ina visitors wengi kuliko members(ambao ndio pekee wanaweza ku pm) Just be serious and observe the marketing principles
 
Halo umesema kweli. Weak kila kitu wazo hapa unajitangaza bure. Tujifunze kwa wenzetu kuwa muwazi na mwaminifu katika biashara zako.
 
Ukishaanza hbr za PM mkuu zaidi ya kutoa picha kuwa hauko siriaz na tangazo lako bali pia haujiamini au huamini bidhaa au huduma unayoiuza.Aidha unapanga kuwa na bei tofauti kwa Kila mteja. Mbaya zaidi jf ina visitors wengi kuliko members(ambao ndio pekee wanaweza ku pm) Just be serious and observe the marketing principles
Upo sahihi chief
Nilimanisha for further DETAILS na picha nying zaid
Naona ujaielewa maana yangu
 
al karim, ahsante... ulichosema ndicho nilitaka kumweleza mwihavag! Binafsi kama kuna bidhaa inauzwa mtandaoni halafu muuzaji akaleta habari za PM sijui Inbox... hapo hapo nabadili maamuzi! Muuzaji ukishaleta habari za PM unagonga kengele ya tahadhali kwa wanunuzi tarajiwa.

Mkuu mwihavag, hata kama mapicha uliyonayo ni 500GB; wewe weka hapa uone engagement itakavyoongezeka! Unaweza kukuta mtu anataka kwenda Kariakoo kutafuta PC lakini akavutiwa tu na picha zako hapa na jinsi unavyofanya mambo kwa uwazi na mkafanya biashara hapa hapa!!
 
Upo sahihi chief
Nilimanisha for further DETAILS na picha nying zaid
Naona ujaielewa maana yangu

Tazama hata post #5 umeulizwa ni fedha kiasi unahitaji kwa hiyo picha hapo Huu hata kujibu hujajibu.

Hivi wajasiriamali wanazaliwa au wanatengenezwa...?.

Kila la heri ndugu.
 
Back
Top Bottom