Kampuni mpya ya Ulinzi, Usalama na Inteligensia iinao Walinzi na Maofisa wenye sifa zifuatazo:
1. Jinsia:Wa Kiume na Wa Kike 2. Umri: Walio Na Miaka kati ya 20 na Kuendelea 3. Elimu: Walio na Elimu Kuanzia Form IV na Kuendelea: 4. Lugha: Wanaoongea Kiingereza na Kiswahili 5. Tabia: Walio Jasiri na mwenye tabia njema na wasio na record yeyote ya uhalifu (Police Clearance Certificate zipo)
Kazi na huduma tunazotoa:
1. Static Security Officers/Guards (Baadhi wamepitia JKT na Mgambo na kuendelea) 2. Incident Response Guards 3. Bodyguards; Closed Protection & Escort - Kwa ambao wanafikiri usalama wao uko mashakani na wanahitaji walinzi binafsi na wapambe wa kuwasindikiza wa kike au wa kiume. Bodyguards wetu wamepitia mafunzio ya ukakamavu kama Karate; JKT; Mgambo; Jeshini, Police n.k. 4. Intelligence & Investigation Officers - Kwa waliohitaji uchunguzi wa masuala mbalimbali ili kupata ushahidi wa uhakika katika makampuni, masuala ya ndoa, biashara, elimu, ajira nk nk 5. Training in using Small Weapons/Range & Weapon Services 7. Security Consultancy Services 8. Digital Security Communications