Kama wew ulivyo na sense ya kwamba mvua itanyesha soon,wadudu na viumbe wengne walinyimwa akili ila sense hiz zingne ziko maradufu kwao, ushawai jiuliza y kumbikumbi mvua ikinyesha wanatoka,hutokea wap?Naam kama nilivyo uliza naomba maoni yako
!Hawa viumbe wanakitu kinachoitwa sixth sense ambayo inawawezesha kuchukua tahadhari na kujiokoa ipasavyo.
Quran tukufu imetaja sisimzi ambaye anatahadharisha wenziwe kuwa kuna kikosi fulani ya jeshi itakuwa inapita kwa hiyo wajifiche la sivyo watakanyagwa! Kwenye janga ile ya Tsunami pale Sri Lanka wanyama wote walikimbilia sehemu ya milimani kutoka ufukweni kabla ya tukio na walinusurika kifo. Wanasayansi wamegundua pia kuwa wanayama kama farasi, tembo, wanaweza kutabiri mtetemeko wa ardhi masaa kadhaa kabla ya tukio. So, viumbe wana in-built survival mechanism ambayo inawasaidia kujiokoa.
Huweza kukimbilia Sehemu salama. Lakini ikitokea, tone moja la mvua ni kifo 100%Naam kama nilivyo uliza naomba maoni yako
Mmmh, kumbikumbi ni mchwa, acha chenga mzee, hamna cha sense wala nini hapo, hiyo ni stage ya kukua kufikia kuwa mchwa, wakisharuka baadae mabawa hupuputika, na hukutana dume na jike hapo huanza familia... Fuatilia vizuri hilo somoKama wew ulivyo na sense ya kwamba mvua itanyesha soon,wadudu na viumbe wengne walinyimwa akili ila sense hiz zingne ziko maradufu kwao, ushawai jiuliza y kumbikumbi mvua ikinyesha wanatoka,hutokea wap?
Ndio hzo sense sasa
Hivi wana damu? Damu ni yetu sisi kundi la wanyama, sio wadudu.Mbona logic ndogo mkuu hao damu yao sio moto kama yako binadamu yako ni moto sana ndio maana unahisi baridi damu ikipoa hutosikia baridi tena
Hoja ya wepesi na waterproof bodies inawabebaKwa wepesi wao, nafikiri inawasomba bila ya kuwaua, ikikauka wanaendelea na maisha yao popote itakapowatupa.
Unabisha au unauliza swali? Kama unabisha basi endelea kubishaHivi wana damu? Damu ni yetu sisi kundi la wanyama, sio wadudu.
FafanuaMmmh, kumbikumbi ni mchwa, acha chenga mzee, hamna cha sense wala nini hapo, hiyo ni stage ya kukua kufikia kuwa mchwa, wakisharuka baadae mabawa hupuputika, na hukutana dume na jike hapo huanza familia... Fuatilia vizuri hilo somo
Mungu Mkubwa sana, hata mnyama kama Punda anauwezo wa kuona mashetani na malaika pia. Kama mashetani yanapita, sehemu ambayo Punda yupo, uwa na tabia analia, na Kama ikifika saa sita mchana Punda utoa mlio fulani ivi, Mungu ni fundi sana,Hawa viumbe wanakitu kinachoitwa sixth sense ambayo inawawezesha kuchukua tahadhari na kujiokoa ipasavyo.