Je, unafahamu ni kiasi gani cha pesa utalipa endapo utamuua/kugonga mnyama wa porini/hifadhini?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Na Mwanahabari Huru

Najua watu wengi hupenda kuzungukia mbuga za wanyama, kwa ajili ya kufanya Utalii na hata baadhi wamekuwa wakiniuliza baadhi ya maswali kwakuwa huona napost sana makala za wanyama, basi leo nitakuwa hapa kukutahadharisha siku utakapoingia katika hifadhi yoyote ya wanyama, ni vitu gani hupaswi kuvifanya,

1●Haurusiwi kumlisha mnyama
2●Hurusiwi kuwabuguzi wanyama kwa kelele.
3●Inatakiwa umtii mfano anapita wewe simamisha gari, usimmulike, usimpigie honi nk.
4●Hurusiwi kushuka sehemu yoyote labda kwa maelekezo maalumu toka kwa kiongozi wako.
5● Hurusiwi kubuni njia au kipita sehemu ambayo hujaruhusiwa(off road)
Kukiuka kanuni hizo ndogo hapo juu kunaweza sababisha afisa wa wanyama pori akakupiga faini kwa namna atakavyoona inafaa, lakini hayo ni madogo ngoma ipo hapa, je umeshawahi kujua unaweza kulipa fedha kiasi gani endapo utamjeruhi au kumuua mnyama kwa bahati mbaya, ili ukae sawa nianze hivi, kipepeo tuu ukimuua hifadhini itatakiwa ulipe 24000/= , hao vyura unaoua kila siku mtaani kwako ukimuua hifadhini utadaiwa 44000/= twende mbele panya au kinyonga ukiua itatakiwa ulipe 64000/= sijui kama tupo wote mpaka hapo !
Ikumbukwe tozo hizo sio lazima umuue hata ukimtegua mguu tuu, sasa hebu tuone gharama za wanyama wakubwa zimekaa vipi !
1. Swala ukimjeruhi au kumuua andaa million moja na laki moja.(1,100,000/=)
2. Fisi million moja laki mbili na kumi.(1,200,010/=
3. Mbwa mwitu million mbili laki sita na elfu arobaini.(2,640,000/=)
4. Chui million saba na laki saba.(7,700,000/=)
5. Duma million kumi laki saba na elfu 80.(10,780,000/=)
6. Simba million kumi laki saba na elfu themanini.(10,780,000/=)
7. Sokwe million kumi na moja laki NNE na elfu 40.
8. Tembo million thelathini na tatu taslimu.
9. Twiga wana bei moja na tembo ndugu yangu, tutafanyaje sasa.(33,000,000/=)
10. Faru ukimjeruhi thamani yake ni million themanini na yetu na laki sita (83,600,000/=)
*Ikumbukwe gharama hizo si kwa ajili ya wawindaji haramu hapana usininukuu vibaya, pia si kwa ajili yako no ! Unapokuwa katika maeneo yenye wanyama pori ukae ukijua wao ndio wenye haki kuliko wewe, mfano wake hautofautiani sana na kugongwa na train ! Hivyo yakupasa kuzingatia sana alama na maelekezo yote utayoyaona, usijejikuta umeingia kwenye mtego usio kuhusu,Pia haina maana ukilipa hiyo gharama ndio utapewa mnyama huyo thubutu!!
 
Hii sheria ni kwa wazawa tu

Maana kina Al Makhtoum haiwahusu kwani mpaka watoto wao wakija nao huwa wqnapewa bunduki na kuuwa watoto wa swala for fun

Pangeni tu bei mnazotaka lakini barabara tunalipia na muwaambie wanyama wasipite hapo la sivyo tutagawana majengo au niseme ardhi
 
Na Mwanahabari Huru

Najua watu wengi hupenda kuzungukia mbuga za wanyama, kwa ajili ya kufanya Utalii na hata baadhi wamekuwa wakiniuliza baadhi ya maswali kwakuwa huona napost sana makala za wanyama, basi leo nitakuwa hapa kukutahadharisha siku utakapoingia katika hifadhi yoyote ya wanyama, ni vitu gani hupaswi kuvifanya,

1●Haurusiwi kumlisha mnyama
2●Hurusiwi kuwabuguzi wanyama kwa kelele.
3●Inatakiwa umtii mfano anapita wewe simamisha gari, usimmulike, usimpigie honi nk.
4●Hurusiwi kushuka sehemu yoyote labda kwa maelekezo maalumu toka kwa kiongozi wako.
5● Hurusiwi kubuni njia au kipita sehemu ambayo hujaruhusiwa(off road)
Kukiuka kanuni hizo ndogo hapo juu kunaweza sababisha afisa wa wanyama pori akakupiga faini kwa namna atakavyoona inafaa, lakini hayo ni madogo ngoma ipo hapa, je umeshawahi kujua unaweza kulipa fedha kiasi gani endapo utamjeruhi au kumuua mnyama kwa bahati mbaya, ili ukae sawa nianze hivi, kipepeo tuu ukimuua hifadhini itatakiwa ulipe 24000/= , hao vyura unaoua kila siku mtaani kwako ukimuua hifadhini utadaiwa 44000/= twende mbele panya au kinyonga ukiua itatakiwa ulipe 64000/= sijui kama tupo wote mpaka hapo !
Ikumbukwe tozo hizo sio lazima umuue hata ukimtegua mguu tuu, sasa hebu tuone gharama za wanyama wakubwa zimekaa vipi !
1. Swala ukimjeruhi au kumuua andaa million moja na laki moja.(1,100,000/=)
2. Fisi million moja laki mbili na kumi.(1,200,010/=
3. Mbwa mwitu million mbili laki sita na elfu arobaini.(2,640,000/=)
4. Chui million saba na laki saba.(7,700,000/=)
5. Duma million kumi laki saba na elfu 80.(10,780,000/=)
6. Simba million kumi laki saba na elfu themanini.(10,780,000/=)
7. Sokwe million kumi na moja laki NNE na elfu 40.
8. Tembo million thelathini na tatu taslimu.
9. Twiga wana bei moja na tembo ndugu yangu, tutafanyaje sasa.(33,000,000/=)
10. Faru ukimjeruhi thamani yake ni million themanini na yetu na laki sita (83,600,000/=)
*Ikumbukwe gharama hizo si kwa ajili ya wawindaji haramu hapana usininukuu vibaya, pia si kwa ajili yako no ! Unapokuwa katika maeneo yenye wanyama pori ukae ukijua wao ndio wenye haki kuliko wewe, mfano wake hautofautiani sana na kugongwa na train ! Hivyo yakupasa kuzingatia sana alama na maelekezo yote utayoyaona, usijejikuta umeingia kwenye mtego usio kuhusu,Pia haina maana ukilipa hiyo gharama ndio utapewa mnyama huyo thubutu!!
Kaka yangu alitoka kununua gari dar njiani mikumi ikahama njia ikaharibika sana cha ajabu pesa aliyolipa ni kubwa sana ingawaje hakuua mnyama yeyote ila nyasi tu zilizosagika eneo la tukio.
Naamini haya ni kweli.
 
Nyumbu mbona ujamweka
 
Kila nipitapo mikumi huwa natazama hayo mambango yao yahusuyo faini za kugonga wanyama,ukigonga fisi faini ni Usd 750 ila ajab ukigonga na kuua mtu fain yake ni chini ya hyo,je hii inamaanisha kuwa mchango wa fisi katika taifa ni mkubwa sn ukilinganisha na binadamu?
 
Kabla ya kujua thamani na mchango... Naomba nijulishe ukigonga mtu faini shilingi ngap?
 
Na Mwanahabari Huru

Najua watu wengi hupenda kuzungukia mbuga za wanyama, kwa ajili ya kufanya Utalii na hata baadhi wamekuwa wakiniuliza baadhi ya maswali kwakuwa huona napost sana makala za wanyama, basi leo nitakuwa hapa kukutahadharisha siku utakapoingia katika hifadhi yoyote ya wanyama, ni vitu gani hupaswi kuvifanya,

1●Haurusiwi kumlisha mnyama
2●Hurusiwi kuwabuguzi wanyama kwa kelele.
3●Inatakiwa umtii mfano anapita wewe simamisha gari, usimmulike, usimpigie honi nk.
4●Hurusiwi kushuka sehemu yoyote labda kwa maelekezo maalumu toka kwa kiongozi wako.
5● Hurusiwi kubuni njia au kipita sehemu ambayo hujaruhusiwa(off road)
Kukiuka kanuni hizo ndogo hapo juu kunaweza sababisha afisa wa wanyama pori akakupiga faini kwa namna atakavyoona inafaa, lakini hayo ni madogo ngoma ipo hapa, je umeshawahi kujua unaweza kulipa fedha kiasi gani endapo utamjeruhi au kumuua mnyama kwa bahati mbaya, ili ukae sawa nianze hivi, kipepeo tuu ukimuua hifadhini itatakiwa ulipe 24000/= , hao vyura unaoua kila siku mtaani kwako ukimuua hifadhini utadaiwa 44000/= twende mbele panya au kinyonga ukiua itatakiwa ulipe 64000/= sijui kama tupo wote mpaka hapo !
Ikumbukwe tozo hizo sio lazima umuue hata ukimtegua mguu tuu, sasa hebu tuone gharama za wanyama wakubwa zimekaa vipi !
1. Swala ukimjeruhi au kumuua andaa million moja na laki moja.(1,100,000/=)
2. Fisi million moja laki mbili na kumi.(1,200,010/=
3. Mbwa mwitu million mbili laki sita na elfu arobaini.(2,640,000/=)
4. Chui million saba na laki saba.(7,700,000/=)
5. Duma million kumi laki saba na elfu 80.(10,780,000/=)
6. Simba million kumi laki saba na elfu themanini.(10,780,000/=)
7. Sokwe million kumi na moja laki NNE na elfu 40.
8. Tembo million thelathini na tatu taslimu.
9. Twiga wana bei moja na tembo ndugu yangu, tutafanyaje sasa.(33,000,000/=)
10. Faru ukimjeruhi thamani yake ni million themanini na yetu na laki sita (83,600,000/=)
*Ikumbukwe gharama hizo si kwa ajili ya wawindaji haramu hapana usininukuu vibaya, pia si kwa ajili yako no ! Unapokuwa katika maeneo yenye wanyama pori ukae ukijua wao ndio wenye haki kuliko wewe, mfano wake hautofautiani sana na kugongwa na train ! Hivyo yakupasa kuzingatia sana alama na maelekezo yote utayoyaona, usijejikuta umeingia kwenye mtego usio kuhusu,Pia haina maana ukilipa hiyo gharama ndio utapewa mnyama huyo thubutu!!
Na wale wanaohitaji kununua hao wanyama kwa ajili ya reserve zao?
 
Back
Top Bottom