Je, unafahamu janaba?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,374
Je, unafahamu nn kuhusu kitu kinaitwa Janaba?
Unayajua madhara yake kwa mpenzi wako au mahusiano yako?
 
kwayiyo point yako nini? JANABA ni dude gani? KISAYANSI ni nini?......acha Porojo! Piga PAPUCHI, OGA VIZURI,..JANABA NI mtu mwenyewe na matatizo yake wala Haisababishwi na uchepukaji!....bora ungesema magonjwa angalau ungeeleweka lakini siyo JANABA;
kumshauri mzinzi aogope JANABA ni sawa na kumshauri JANGILI aogope UMANDE!!!!!!
 
Hata sijui ni kitu gani hicho,,,ndio nakisikia leo.
 
Ni Hali ya kutoka manii kwenye ndoto au kumwingilia mwanamke au kitu chochote iwe mnyama au ndege nk au mwanamke kuingiliwa na mwanaume au kitu chochote katika uke wake. Nadhani hata kidole pia anapaswa aoge. Kubwa ni ile ya kufanya jimai basi yapaswa kuoga JANABA

Wajuzi waongezee.
 
Jamaa bhana upo tayari lakini kusikia yahusuyo janaba?
 
Ungenogesha zaidi kwa kuelezea madhara yake mkuu ..what if mtu hataoga
 
Ungenogesha zaidi kwa kuelezea madhara yake mkuu ..what if mtu hataoga
Hakuna madhara yoyote kiafya wala kidini. Janaba ni physical impurity tu unaoga kesi imeisha. Tunasema impurity kwa sababu kwa Waislam ukiwa na hali hiyo hauwezi kusoma Quran, hausali mpaka uoge. Na pia mwili unakuwa wazi yaani impure ni rahisi kupatwa na madudu mabaya kama mapepo lakini hakuna madhara yoyote otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…