Je unafahamu ID2020 alliance?

Je unafahamu ID2020 alliance?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,706
Duniani kuna mambo mengi sana ya kimya kimya .

Wanajulikana pia kama Digital Identity alliance.

Mpango wao mkubwa ni kuhakilisha kila binadamu duniani anatambuliwa kwa kupewa digital identity.

Kwanini waliita ID2020 ? Haijulikani.

Ni mapema sana kuwahusisha na covid 19.

Wana dili na mambo yafutayo kwenye tech
1. Biometric
2. Blockchain
3. Vaccination

Wadau wakubwa ni
1. Microsoft
2. GAVI
3. Accenture
4. ROCKEFELLER
5.IDEO.ORG

Hapa ndio utapata picha kwanini Bill gates yupo mbele sana na mambo ya vaccine hata kwa ajili ya corona.

Angalia hii speech yake mwaka 2015.

Kuwajua zaidi soma id2020.org

Cha msingi watu wote duniani tunaenda kutambuliwa, ukipita sehemu bila hata kukuuliza watajua kwamba una chanjo ya corona au laa..

NB. Fuata maelekezo ya watalaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kumbe tumeshauzwa kitambo! MTENDA MABAYA ATENDE SANA NA MTAKATIFU AZIDI TAKASWA NAJA NA UJIRA KUMLIPA KILA MMOJA WENU!!! Mungu atuepushe
 
Ahsante mleta mada..Ila nadhani hii lugha aliyotumia Bill Gates ni shida kwako kabisa...Nisamehe kwa ilo.Ebu rudia tena kusikiliza.
 
"Mtu na pesa zakee" nawakumbuka twanga pepeta.
 
Conspiracy theories za zama hizi kama zile story za 5G usipokuwa na imani thabiti utayumba. Ibilisi yupo kazini
 
Tatizo lako unaona hicho anacho kiongea billgate, asingeweza kuongea zaidi ya hicho kwa sababu anafanya haya aonekane yupo kwenye industry. Lakini nyuma yake kuna jambo ambalo mtu kama wewe hutakaa uliamini.

Ahsante mleta mada..Ila nadhani hii lugha aliyotumia Bill Gates ni shida kwako kabisa...Nisamehe kwa ilo.Ebu rudia tena kusikiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako unaona hicho anacho kiongea billgate, asingeweza kuongea zaidi ya hicho kwa sababu anafanya haya aonekane yupo kwenye industry. Lakini nyuma yake kuna jambo ambalo mtu kama wewe hutakaa uliamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mtu kama wewe ndiyo unajua kilicho nyuma yake!Huu ni ubatili tu ambao hamna nafasi kwa watu wenye utimamu.
 
Back
Top Bottom