M mtetezi12 Member Joined Feb 17, 2026 Posts 23 Reaction score 116 Mar 19, 2026 #1 Kuna kauli ambayo wanawake wa sasa wanatoa eti ukinichiti na mimi nakuchiti mpaka najiuliza how come Yaani Ukichiti mume wako na mwanaume mwingine unakuwa unamkomoa au unajikomoa sijawahi kuelewa hii mimi
Kuna kauli ambayo wanawake wa sasa wanatoa eti ukinichiti na mimi nakuchiti mpaka najiuliza how come Yaani Ukichiti mume wako na mwanaume mwingine unakuwa unamkomoa au unajikomoa sijawahi kuelewa hii mimi
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 2,543 Reaction score 7,323 Mar 19, 2026 #2 anataka uhisi alichokihisi ulipoenda kuchiti hadharani bila kuwa na heshima ya kuwa wew ni mume
Godoro la kioo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 364 Reaction score 727 Mar 19, 2026 #3 Sasa mkuu wewe unawaza akigawa Wakati mmekutana ukubwani huwezi ukajua kabla Yako alikuwa ameshawagawia wangap Anyway ikifikia Hatua hiyo ujue mnaishi Ili kuifurahisha jamii
Sasa mkuu wewe unawaza akigawa Wakati mmekutana ukubwani huwezi ukajua kabla Yako alikuwa ameshawagawia wangap Anyway ikifikia Hatua hiyo ujue mnaishi Ili kuifurahisha jamii
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,709 Mar 19, 2026 #4 Wakikutana na mwanaume makande ndo huwa wanapayuka hivyo labda
Hata najua basi JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 1,677 Reaction score 3,271 Mar 19, 2026 #5 Nina uhakika ukingundua ame ku cheat itakuuma π Yeye wala hakijikomoi huenda akakutana na vitu vipya hajawai ku experience kwakoππ
Nina uhakika ukingundua ame ku cheat itakuuma π Yeye wala hakijikomoi huenda akakutana na vitu vipya hajawai ku experience kwakoππ
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,276 Reaction score 51,858 Mar 19, 2026 #6 Hayo ni mafeminist
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 3,173 Reaction score 4,488 Mar 19, 2026 #7 Jino Kwa jino, enh 50/50
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,786 Reaction score 25,536 Mar 19, 2026 #8 Hao huwaga malaya hao!!!
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 7,289 Reaction score 11,787 Mar 19, 2026 #9 Upepo ume change mkuu badili mbinu
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,540 Reaction score 31,590 Mar 19, 2026 #10 Mjusi Sharobalo said: Wakikutana na mwanaume makande ndo huwa wanapayuka hivyo labda Click to expand... Hahahah una kaujeuri leoπ€£
Mjusi Sharobalo said: Wakikutana na mwanaume makande ndo huwa wanapayuka hivyo labda Click to expand... Hahahah una kaujeuri leoπ€£
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,709 Mar 19, 2026 #11 Seran said: Hahahah una kaujeuri leoπ€£ Click to expand... Seran said: Hahahah una kaujeuri leoπ€£ Click to expand...
Seran said: Hahahah una kaujeuri leoπ€£ Click to expand... Seran said: Hahahah una kaujeuri leoπ€£ Click to expand...
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,540 Reaction score 31,590 Mar 19, 2026 #12 Mjusi Sharobalo said: View attachment 3560110 Click to expand... Haya mjombe jobe
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,709 Mar 19, 2026 #13 Seran said: Hahahah una kaujeuri leoπ€£ Click to expand... Seran said: Hahahah una kaujeuri leoπ€£ Click to expand... View attachment 3560110 Seran said: Haya mjombe jobe Click to expand... Usilopoke sasa kwa sauti utanikosesha furisa zingine humu ndani ππ€£π€£
Seran said: Hahahah una kaujeuri leoπ€£ Click to expand... Seran said: Hahahah una kaujeuri leoπ€£ Click to expand... View attachment 3560110 Seran said: Haya mjombe jobe Click to expand... Usilopoke sasa kwa sauti utanikosesha furisa zingine humu ndani ππ€£π€£
multiple JF-Expert Member Joined Feb 14, 2016 Posts 588 Reaction score 1,132 Mar 19, 2026 #14 Ukitaka kuelewa kauli za wanawake utakufa mapema sana.
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,540 Reaction score 31,590 Mar 19, 2026 #15 Mjusi Sharobalo said: View attachment 3560110 Usilopoke sasa kwa sauti utanikosesha furisa zingine humu ndani ππ€£π€£ Click to expand... Kuna fursa ingine humu unavizia?
Mjusi Sharobalo said: View attachment 3560110 Usilopoke sasa kwa sauti utanikosesha furisa zingine humu ndani ππ€£π€£ Click to expand... Kuna fursa ingine humu unavizia?
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,709 Mar 19, 2026 #16 Seran said: Kuna fursa ingine humu unavizia? Click to expand... Mtafutaji hachoki π
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,540 Reaction score 31,590 Mar 19, 2026 #17 Mjusi Sharobalo said: Mtafutaji hachoki π Click to expand... Mwaka wako huu dogo, tangaza dau!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,586 Mar 19, 2026 #18 Hayana miongozo... Cc: Mahondaw
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,709 Mar 19, 2026 #19 Seran said: Mwaka wako huu dogo, tangaza dau! Click to expand... π Afu 50 π