alimeza Kengele siku ile...hye hye hyeeferguson anajitaftie presha za bure, fainali iliyo pita alitetemeka kwel, kikosi chao bado kusema kwel na barca wako juu kwel nikuwaombea wachezaji wao waumie lkn bado hata hivyo man utd watasumbuliwa na kina thiagoo.....
....gang chomba atakua ars-nane fan. probably.
Walipofungwa kwenye fainali ya ligi ya mabingwa ulaya May, 28, mwaka huu Sir Alex Ferguson aliahidi kutengeneza kikosi ambacho kitaifunga Barcelona na kuchukua ubingwa wa ulaya msimu huu. Je wewe unaamini kikosi hiki cha sasa cha mabingwa watetezi Uingereza kinaweza kweli kuifunga Barcelona endapo watakutana kwenye ligi ya mabingwa ulaya na kuchukua ubingwa wa Ulaya?
Hahaha! yaani mechi hizi mbili-tatu ndio zinawapa matumaini ya kuweza kuwafunga Barca ? sio nyie mlioomba Fifa wawatafutie Barca timu kutoka sayari nyingine miezi michache ilopita ?Man utd inao uwezo wa kuifunga Barca kwa kikosi cha sasa hivi: De Gea, Smalling, Evra, Jones, Vidic, Anderson/Fletcher, Cleverly, Valencia, Young, Rooney, Nani. Kama first 11 hii wote watakuwa fiti Barca inapigwa. Cha kufanya ni kuwahit faster in counter attack as they(Barca) play very cowardly squarring in they own half waiting you to go for the ball and stumbling on the deck, so Man utd can let them come to Man's third and hit them quickly, with fair officiating Man itaifunga Barca
Walipofungwa kwenye fainali ya ligi ya mabingwa ulaya May, 28, mwaka huu Sir Alex Ferguson aliahidi kutengeneza kikosi ambacho kitaifunga Barcelona na kuchukua ubingwa wa ulaya msimu huu. Je wewe unaamini kikosi hiki cha sasa cha mabingwa watetezi Uingereza kinaweza kweli kuifunga Barcelona endapo watakutana kwenye ligi ya mabingwa ulaya na kuchukua ubingwa wa Ulaya?
Barcelona? Chelsea yenyewe tu leo itakuwa taabu ndio wanawazia Barcelona.....
Walipofungwa kwenye fainali ya ligi ya mabingwa ulaya May, 28, mwaka huu Sir Alex Ferguson aliahidi kutengeneza kikosi ambacho kitaifunga Barcelona na kuchukua ubingwa wa ulaya msimu huu. Je wewe unaamini kikosi hiki cha sasa cha mabingwa watetezi Uingereza kinaweza kweli kuifunga Barcelona endapo watakutana kwenye ligi ya mabingwa ulaya na kuchukua ubingwa wa Ulaya?
wakicheza old trafford man inashinda ila kiwanja kingine watafungwa goli moja kutokana sasa hivi nao barca wameanza kupoteza dira..hata kama wameshinda jmosi goli 8
ManU have a chance. Barca ni wazuri kwenye offence. Defence ya Barca kwa sasa ni mdebwedo. Kama juzi uliangalia Barca v/s AC Milan utaona hilo
Man utd inao uwezo wa kuifunga Barca kwa kikosi cha sasa hivi: De Gea, Smalling, Evra, Jones, Vidic, Anderson/Fletcher, Cleverly, Valencia, Young, Rooney, Nani. Kama first 11 hii wote watakuwa fiti Barca inapigwa. Cha kufanya ni kuwahit faster in counter attack as they(Barca) play very cowardly squarring in they own half waiting you to go for the ball and stumbling on the deck, so Man utd can let them come to Man's third and hit them quickly, with fair officiating Man itaifunga Barca
kama unafuatilia Barca sasa hivi haiko vizuri kifedha Threelas: Big Debt Make Barca Future Very Difficult . back to the topic; timu nyingi zimeisoma jinsi Barca inavyocheza kwa muda, tangu Guardiola achukue wamekuwa hawana different playing style nadio maana ukija na game plan nzuri ni rahisi kuwashika kama ambavyo Hercules mwaka jana na Valencia, AC milan wameweza unaweza kupitia hizi links Valencia 2-2 Barcelona: Emery gets the better of Guardiola early on, but Barca fight back | Zonal Marking Barcelona 2-2 Milan: Milan's narrowness frustrates Barca (just about) | Zonal Marking Barcelona 0-2 Hercules: Valdez beats Valdes twice to give Hercules shock victory | Zonal Marking.You must be a genius. It seams you know more than what Sir Ferguson knows. Saying is one thing but actually doing it is something totally different. Man U were beaten in Rome fair and square without any officiating incidents. They got a second chance but ended being humiliated at Wembley with Sir Ferguson acknowledging that he was at loss of ideas on how to play against Barca. Yaani mmeshinda game tatu za EPL ndio mnaanza kukosa adabu sio? As usual, Barca will let their football do the talking while you scheme all plans that you might think of.