jana hukunitumia namba yako ya zain.
tulipata ajali jana usiku tuligongana uso kwa uso, jamaa alikuwa amelewa sana, akawa anaovateki, gari ikamshinda akatuvaa usoni, kisha gari yake ikapinduka.
saa hizi ndio nafika ofisini ila sasa hivi naondoka, ntarudi kesho.
unaonaje tukionana pale pa jana?