Je, Una Moja Kati ya vitu hivi...!!???

Icon Special

Icon Special

Senior Member
Joined
Mar 14, 2019
Messages
165
Points
250
Icon Special

Icon Special

Senior Member
Joined Mar 14, 2019
165 250
*Je, una kitambi?*
*Je, una michirizi ya unene?*
*Je, una shepu isiyovutia?*
*Je, una nywele za kipilipili?*
*Je, una meno ya njano?*
*Je, una chunusi, harara au mabaka kwenye ngozi yako?*
*Je, una nywele zinazokatika?*

*Mshukuru Mungu kukuumba hivyo hamna namna nyingine.

Ulitaka awe navyo nani sasa kama sio wewe?*
 

Forum statistics

Threads 1,315,984
Members 505,466
Posts 31,875,897
Top