Je una huruma kiasi gani ?

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,039
Reaction score
3,084


Huyu panya ungemuua au ungemuhurumia kwaajili ya watoto wake ?

Mimi binafsi ninamuacha ila tutakuja kupambana hapo baadae watoto wakishakua wakubwa, na watoto wakiwa wakubwa na kuanza usumbufu hapo ndipo nitaanza kudeal nao kwasababu sasa hivi hawajui chochote bado

sababu nyingine ya kuwahurumia hawa watoto ni kwasababu wanaweza kuwa taifa la kesho anaweza kutokea panya kama Magawa mwenye umuhimu kwa Taifa
 
Ah we jamaa.... Mimi hao nikiwaona wametulia hivyo nachokifanya nachukua jiwe saizi ya tofali afu nawashushia kitu KIZITO .. najisikiaga vizuri sana nikiwaua hawa wadudu... Siwapendi kinyama😐😐
 
Hongera mkuu. Wapatie chai ya rangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…