Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
KUTANA NA MTU MWENYE HURUMA ZAIDI.jamaa kafiwa na mkewe, waakiwa makaburini alimuona mwanaume mmoja analia sana huku akijigalagaza,mume mfiwa akamuuliza rafiki yake,mbona huyu analia sana ni nani huyu? rafiki yake akamjibu, huyu alikuwa anatembea na mke wako. jamaa akamfuata na kumnong'oneza nyamaza usilie sana nitaowa mwingine! kabla ya 40 kufika