Kwa hili nakubali mkuu....... Russia, China na India India na sauth Africa ....wanamiliki robo tatu ya population ya dunia .... Marekan awe Makin na Hawa viumbewalikuwa wna piga mkwara mkuu maana hawa usi sahau ni wezi apo Kongo wana pora sana na hapa pia! kupanda kwa thamani kwa pesa ya Urusi ina adhari kubwa sana kwa pesa ya Ulaya na dolla! pesa ya Uchina ina kwenda kutumika vilivyo kuidhofisha dolla! Urusi na mchina ni watu wa hesabu! na linapokuja kuja suala la hesabu kwa mchina huchomoki! ndio mafundi wa hesabu Duniani! Urusi India na China zina weza dhoofisha $ kwa haraka sana maana ndio watumiaji wakubwa wa mafuta kwenye uzalishaji bidhaa Duniani na gasi! mrusi akiwa mzalishaji mafuta na gasi na mbolea na aluminium! Mrusi kashika hatari hagusiki hatari hakwepeki!
Wamesema nisamehe Mimi ,,,, nimekosa Mimi ,,,nisamehe SanaNi zamu yetu warusi kupeleka mashambulizi anko kaniambia jana anawazingua tu hatowauzia gesi wala nn mpk wapige magoti waseme kwa pamoja TUMEKOMA KAKA HATUTARUDIA TENA KUKUCHOKOZA TULISAHAU KM WEWE NI BWANA WETU TU SAMEHE!!!!!
Hahahawalijua urusi ni Zimbabwe!!! Wanaenda kufanya nn kwa Putin Kama wanayaweza yote !!? uchumi wa dunia umeshikwa na mrusi ,hakuna ubishi. gas,mafuta,mbolea!!!
Wamarekani wa tandale njooni huku,hapa naona mtakuwa mnapita tu.
Kama Boris jonhson mwenyew Ameshaanza ku give up .....sisi ni Nan tumpingeMarekani ni mnafiki sana, Ukraine wamekula kichapo kitakatifu, Ulaya vikwazo vinawatafuna wenyewe sasa wanasikiliza Urusi nini anataka, halaf humu wanajiita wamarekani weusi wanakuja na ngonjera za urongo balaaa yaani
Walijua wanadili na Talibanwalijua urusi ni Zimbabwe!!! Wanaenda kufanya nn kwa Putin Kama wanayaweza yote !!? uchumi wa dunia umeshikwa na mrusi ,hakuna ubishi. gas,mafuta,mbolea!!!
Wamarekani wa tandale njooni huku,hapa naona mtakuwa mnapita tu.