Je, umewahi kufikiria kujiua?

Je, umewahi kufikiria kujiua?

Kujiua Ni hatua ya mwisho ufikiri unapofika ukomo,wanaojiua si hawapendi chips,na kidari,hapana Msongo ni muuaji anayestali Cheti.
 
Naomba ushee nasi hali ilikua vp

I lost my twin katika mazingira magumi sana.he took poison too!nikaona dunia haisogei kbs kwangu! Nikanywa valium za kunitosha...wakaniwahi!sitajiua tena!napambana na hali yangu!
 
Kuliko kujiua ni afadhali ni muue huyo anayetaka kufanya nijiue.
 
Back
Top Bottom