Je, umewahi kufikiria kujiua?

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,907
Habari za wakati huu

Uzi huu ni kwa wale ambao wamewahi kufikia hatua ya kutaka kujiua ama kwa kamba, sumu, kujiingiza kwenye ajali au kwa namna yoyote ile.

Je, unakumbuka tukio lenyewe?Je, kwa sasa unajisikiaje ukikukumbuka? Je, nini kilikuwezesha ukaacha kuchukua hatua hio?

Karibu tujadili, simulizi yako inaweza kumsaidia mwingine.
 
"E="Khantwe, post: 33640821, member: 114064"]
Aisee pamoja na yote magumu niliyopitia sijawahi kufikiria kujiua, ugali mtamu wewe
[/QUOTE]"

bhasi hizo shida hazikufika kileleni au ulikuwa na watu pembeni.
Kufikiria kujiua mbona simple, issue ni ule ujasiri wa kununua kamba na sumu
 
Mimi nijuavyo kufikia hali kama hiyo kunaambatana na changamoto ya kiakili.

Mimi na akili yangu timamu ni vigumu sana kufikishwa huko kwa matatizo ambayo najua baada ya siku kadhaa yatapita na nitakuwa na senti zangu kadhaa mfukoni, nitaenda shivers kuchagua kitu kimoja kilichosimama nifurahie utamu wa kuishi.

Sasa nikidanja huko niendako nina uhakika kabisa hakuna Shivers.....(sorry kwa wasomaji wengine ila nina uhakika wale wa A town wamenielewa hapo "Shivers")
 
Write your reply...wanaojiua ndio wanaume nawakubali sana wanaojiua naona wafikisha malengo yao
 
kujiua ni dhambi kwanza, pili hiyo sio njia sahii ya kutatua matatizo zako na Tatu huo utakuwa ni uwongo wa maisha mpaka kufikia hatua hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom