NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,967
Mhhh hebu tuwekee sample za hizo vesi na jinsi anavyozitetea kwenye biblia,tuone.kuna siku nilikuwa nzega sehemu moja inaitwa nzega motel jamaa tulimchangia kwa kununua vitabu vyake aisee ukisoma utashangaa sana maana yake jamaa anatetea point zake kwa evidence kutoka katika biblia:
kuna siku nilikuwa nzega sehemu moja inaitwa nzega motel jamaa tulimchangia kwa kununua vitabu vyake aisee ukisoma utashangaa sana maana yake jamaa anatetea point zake kwa evidence kutoka katika biblia:
Huijui tu Biblia, vinginevyo ungeshauona uongo wake! Usije ukawa kama watoto wa Mama mdogo walionyofoa mstari mmoja - tena mstari wenyewe hawausomi mzima - toka kwenye paragraph na wakaanza kuita wenzao wagalatia!
anapatikana sodoma na gomorrah!?wakuu habari zenu.
Wenzangu nanyi mmeipata habari hii ya kuwa "mbinguni ni kigamboni. House girl ni halali yako zaanae.wababa mnapaswa kuwa na wake zaidi ya 7,
wanawake mlio katika ndoa wapeni waume zenu house girl wenu na waume zenu watawapendeni sana."
kwa mujibu wa
nabii tito.
Kwa ufafanuzi piga no-:0772958377 anapatikana udom-ng'ong'ona!
wakuu habari zenu.

Wakuu habari zenu.
Wenzangu nanyi mmeipata habari hii ya kuwa "MBINGUNI ni KIGAMBONI. HOUSE GIRL NI HALALI YAKO ZAANAE.Wababa mnapaswa kuwa na WAKE ZAIDI YA 7,
WANAWAKE mlio katika ndoa WAPENI WAUME ZENU HOUSE GIRL WENU na WAUME ZENU WATAWAPENDENI SANA."
Kwa Mujibu wa
nabii TITO.
kwa ufafanuzi piga no-:0772958377 anapatikana UDOM-NG'ONG'ONA!