Je umeshawahi kutendwa VALENTINE?

yamesha nikuta miaka 8 sasa na tangu kipindi hicho sijawahi kusheherekea siku ya valentine.... nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana zaid ya miaka 5 tukiwa wapenzi na ndie aliekuwa mume wangu mtarajiwa tangu kipindi hicho hadi leo sitamani tena kuchumbiwa wala kuolewa nimewachukia wanaume

pole sana yan wewe upo kama mm ila mi nipo tofaut cwachukii wanawake ila ninawaa...
 
Dush! Like someone else said..try to make each day a valentine..kwamfano, I was on of out of country workshop and only arrived on saturday,

then we had an out of town workshop, but while others left a day earlier..I decided to drive in the morning so I can spend one night with family..

And while this workshop is ending tommorow..I decided to drive back home today and suprise him! They were all pleasantly suprised!...

Make each day a valentine! It pays!

However...the downside is to drive extra early tommorow morning! Whoosh!

But doing homework with my daughter..putting little one to sleep..spending quality time with hubby..ahhh priceless!!!

Mhandisi
 
Jamani maumvu ya kupenda ackwambie m2.naikumbuka cku hiyo ilikua trh14 feb2007 saa7ucku,2lipanga vyema toka asubuh kua jion ya cku hy 2takua pa1 na nashukuru ilikua km 2livyopanga but kumbe ckujua maumivu nayafata jion.muda ulifika 2kaenda nakumbuka cku hy walikuja wasanii toka dar.unajua cku hyo c wote wanaokwenda na wapenz wao sasa yule mpenz wangu alikua na bwana waliekua wamepotezana kitambo na cku hyo ikawakutanisha kilichotokea hapo hata ww unaenisoma ulishajua ndo mana cku hii ya valentine huwa naikumbuka cku 2 baada au nicikumbuke kabisa polen wote wahanga wa cku hii.
 
Wapendwa haya mambo yapo kuna matukio ya kuumizana yanatokea sana katika siku hiyo ya wapendanao, nasema hivyo kwasababu mimi mwenyewe nimeumizwa tayari, mwanaume niliyempenda sana kwa muda mrefu tuu, valentine ya mwaka jana aliniambia hanihitaji tena hapo ananiambia hivyo tumekaa kwenye hoteli nzuriiii tukipata mlo wa jioni, yaani mwezi huu sina hamu nao mwenzenu.
 
Jamani maumvu ya kupenda ackwambie m2.naikumbuka cku hiyo ilikua trh14 feb2007 saa7ucku,2lipanga vyema toka asubuh kua jion ya cku hy 2takua pa1 na nashukuru ilikua km 2livyopanga but kumbe ckujua maumivu nayafata jion.muda ulifika 2kaenda nakumbuka cku hy walikuja wasanii toka dar.unajua cku hyo c wote wanaokwenda na wapenz wao sasa yule mpenz wangu alikua na bwana waliekua wamepotezana kitambo na cku hyo ikawakutanisha kilichotokea hapo hata ww unaenisoma ulishajua ndo mana cku hii ya valentine huwa naikumbuka cku 2 baada au nicikumbuke kabisa polen wote wahanga wa cku hii.
 
dah! Yan kila ninavyosoma hv hz comment za wa2 co siri ctaman kabisa cku hyo ya valentine co cr ninazd kuichukia
 
Mimi nimewahi kupiga chini siku ya Valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!

YOU DESERVE A HEAD BULLET FROM AK 47....:angry:
 
Mimi nimewahi kupiga chini siku ya Valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!

Mmhh Hongera dada!!
mi nahoji hivi kumuacha mtu siku ya valentine ni kwanini? ni kupotosha maana au kuna nini? kwanini isiwe jana yake? au few days before? mi nashangaa sana nishawahi shuhudia watu wawili wa karibu yangu wakiachwa siku hii muhimu tena bila sababu kabisaaa. nini hasa naombeni msaada.
 
yamesha nikuta miaka 8 sasa na tangu kipindi hicho sijawahi kusheherekea siku ya valentine.... nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana zaid ya miaka 5 tukiwa wapenzi na ndie aliekuwa mume wangu mtarajiwa tangu kipindi hicho hadi leo sitamani tena kuchumbiwa wala kuolewa nimewachukia wanaume
Pole sana Borntown. maisha yanaendelea, si wanaume wote ni wabaya, wengine are very lovely, nakuombea kwa Mungu akuponye na maumivu hayo.
 
nimetendwa..... its real painful oooh! i can explain i'd rather forget but...
 
Mimi nimewahi kupiga chini siku ya Valentine,nilipata mwanaume bora zaidimwenye hela zaidi) na akaamua kunionyesha siku hiyo kuwa ananipenda,nami nikampiga chini yoyo niliyekuwa naye,sijawahi jutia!

Akina dada kama nyie ndo mnafanya wanaume wasiwamini wadada siku hizi, maana wanafikiri siku hizi hapendwi mtu inapendwa pesa yake...:A S thumbs_down:! Lakini bado ninaamini wapo wadada wenye mapenzi ya kweli, na sio pesa! You can never get love and peace from money! Nakupa pole unayetanguliza pesa mbele... kumbuka utavuna kile ulichopanda!
 
Mmhh Hongera dada!!
mi nahoji hivi kumuacha mtu siku ya valentine ni kwanini? ni kupotosha maana au kuna nini? kwanini isiwe jana yake? au few days before? mi nashangaa sana nishawahi shuhudia watu wawili wa karibu yangu wakiachwa siku hii muhimu tena bila sababu kabisaaa. nini hasa naombeni msaada.

Unajua Remmy, inawezekana kabisa kunakuwa na cheating before this day... na huyo anayecheat ameweza kuwa-handle wote wawili bila tatizo. Sasa ikifika siku hii muhimu ambayo ndo inaitwa ya wapendanao, sasa inabidi watoke outing...anatoka na nani wakati alikuwa nao wawili au zaidi??? So kinachotokea ni kuchagua mmoja na kuwaaacha wengine kwenye mataa...wakiumia zaidi! Hivyo ndivyo ninavyofikiri. Poleni sana kwa walioumizwa!
 
yamesha nikuta miaka 8 sasa na tangu kipindi hicho sijawahi kusheherekea siku ya valentine.... nilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana zaid ya miaka 5 tukiwa wapenzi na ndie aliekuwa mume wangu mtarajiwa tangu kipindi hicho hadi leo sitamani tena kuchumbiwa wala kuolewa nimewachukia wanaume

Borntown huyo hakuwa mume wako alishapangiwa na mungu mkewe tangu anazaliwa kwa hiyo usikate tamaa kabisa yuko wako mahala katulia, na siku ukimpata hautaregret kuachana na huyo mkaka.
 
Nitarudi baadae, lakini mimi sijuagi maana ya kuitukuza hii tarehe 14/2.
Haipo akilini.
 
Back
Top Bottom