Je umeisha wahi kufikiri kuwa Tanzania inaweza kugeuka??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,680
8,868
Nakaa nawaza kwa Sauti je??pale ikitokea kuwa tuongeze mda wa kukaa madarakani urais iwe miaka 20,Je kwa Utawala tulionao kuna mtu atakataa?nini mawazo yako?Maana tuliambiwa siasa mpaka 2020.Nini maoni yako.
 
Haikubaliki labda kama tutakuwa taifa la wenda wazimu. Miaka 20 ndio mwanzo wa kutengeneza "mungu watu".
 
Nakaa nawaza kwa Sauti je??pale ikitokea kuwa tuongeze mda wa kukaa madarakani urais iwe miaka 20,Je kwa Utawala tulionao kuna mtu atakataa?nini mawazo yako?Maana tuliambiwa siasa mpaka 2020.Nini maoni yako.
Ungekuwa hapa karibu ungechezea vitasa
 
Yule mshauri ndiye kaacha wazo hili ili lifanyiwe kazi kama kule kwake?
Niliwaza sana maana kama analeta wataalamu wa TRA na kashauri ununuzi wa ndege za panga boi uoni nimengi yanawezakufatia¿??Zile ndege humpandishi mzungu,Wazungu wameaminishwa ndege ni jet.
 
Nakaa nawaza kwa Sauti je??pale ikitokea kuwa tuongeze mda wa kukaa madarakani urais iwe miaka 20,Je kwa Utawala tulionao kuna mtu atakataa?nini mawazo yako?Maana tuliambiwa siasa mpaka 2020.Nini maoni yako.
Kuongeza muda ni uvunjaji wa katiba, kama yule mgeni ndiye aliyekupa wazo la kuongeza muda wa kukaa madarakani mwambie ashindwe na aligee na udikteta wake uchwara. Hapa ni demokrasia tu.
 
Nakaa nawaza kwa Sauti je??pale ikitokea kuwa tuongeze mda wa kukaa madarakani urais iwe miaka 20,Je kwa Utawala tulionao kuna mtu atakataa?nini mawazo yako?Maana tuliambiwa siasa mpaka 2020.Nini maoni yako.
Haaaaa hiyo ni Mbezi-feli
 
Binafs nilivyomwelewa mleta mada ni ya kuchokoza akili za watz. Maana baada ya hii awam tumegeuka kila tamko la viongoz wetu liwe la kuvunja katba tunashangilia. Swali je akija na wazo la yy kutawala 20years tutafanyaje??

Kasema sisa mpaka 2020 kuna watu wamemuunga mkono . Sahz tunashuhudia no mikutano ya kusiasa wala makongamano yeyote kwa wananchi . Wengne wakifurahia . Wazir mkuu kaja kupigilia msumari raia marufuku kuikosoa serikali hiyo ni kaz ya bunge tena bungen . Nje ya hapo ni kosa unaweza hata kushitakiwa!!!

Kama tunakubaliana na uvunjaji wa katba kwa haya machache hilo tuna uthubutu wa kupinga??
 
Asante mawazo huru ulinielewa kwa tungo hii ilihitaji kukaa na kuona mbali wenye mizuka tumewaona.
 
Sisi walalahoi vilio vyetu vya msingi sio la mtawala atakaa kwa muda gani kwenye kiti cha enzi bali huyo mtawala atatufanyia nini sisi watawaliwa.....ikiwa sisi ndi walipa kodi....basi tunaka mtawala atuhakikishie huduma muhimu za kijamii kama vile....upatikanaji wa huduma bora za afya.....upatikanaji wa maji safi na salama ya kutumia sisi walalahoi.......watusaidie kupambana na rushwa ili tusiwe tunanunua haki zetu au kudharauliwa na wenye navyo.....
Kutuboreshea miundombinu ya bara bara na umeme..,,,
Bila ya kusahau ulinzi na usalama kwenye mali zetu.......

Na hata vilio vyetu vya kutaka mtawala aondoke ni baada kutokea kwa matatizo hayo.....
 
Hakuna anaejua kesho
hata mtu akitaka kutawala miaka 100 bado still kesho hakuna anaejua itakuaje...
kuna so many surprises daily......
Well said, kwenye biblia kuna mtu alifanya bidii akapata mazao ya kutosha akauambia moyo wake utulie na ufurahie kazi za mikono yake. Mungu akamwambia mpumbavu wee hujui usiku wa leo naihitaji roho yako..... Hakuna mwenye wa uhakika wa kuiona dakika ijayo licha ya kesho.
 
Back
Top Bottom