Je umeichoka google tanzania?! Je, unataka google international? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je umeichoka google tanzania?! Je, unataka google international?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mtanganyika tz, Dec 24, 2011.

 1. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je.umeichoka google Tanzania? Je, unataka google international?
  Ndugu mwanajamii, kama majibu ni ndiyo kwa hayo maswali hapo juu basi fuatana name katika hatua chache zifuatazo;
  Hatua 1: kuandaa search engine mpya
  Hapa unachotakiwa ni kusogeza cursor mpaka sehemu urls zinapokuwa displayed. Then right click utaona

  jamii 1.GIF
  alafu chagua "edit search engine" Ukishabofya utaona hii kitu hapa
  jamii 2.GIF

  Then angalia kwenye list utaona kuna row iko tupu

  Sasa hapa cha kufanya ni hivi: kwenye name we andika chochote unachotaka mfano " mtanganyikatz google search"
  Kwenye key word itabidi utype" googlecustom" kama hauna mpango wa kuifanya default. Kama unataka iwe default then chochote utachotype hakita leta tofauti!
  Ok! Then kwenye url kopi hii kitu alafu upaste; http://www.google.com/search?q=%s&hl=en&num=10&lr=&ft=i&cr=&safe=images&tbs=rl:1
  Ok! Then bofya ENTER! Kazi imeisha!
  Chagua search injini yako mpya kwenye list usisahau kuimake default!
  Merry christmass
  Anglizo: hii ni kwa wale wanaotumia google chrome tu!
   

  Attached Files:

Loading...