Je uliwai kukutwa na hali hii?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je uliwai kukutwa na hali hii??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Oct 4, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba mjikumbushe kwenye mambo yaliyokwisha tokea na yanaendelea kutokea!!!....Hivi huliwahi kumtaka msichana akakusumbua na akawa anakupiga chenga za hapa na pale ukavumilia yote?lakini ikatokea siku ukawauntest ukamwita mahali akaja japo hukupanga na hukuwa unategemea atakuja lakini kaja ukamwambia yoteukaona hapingi unaingia naye guest lakini mkifika anakwambia mimi niko katika skku zangu actualy namaliza leo au kesho!!wakati wewe ulisha ji tune una do ze nidful!!je huwa unafanyeje??au unahailisha unamwacha aende mpaka sikukunyingine??wakati mwenyewe unajua usumbufu wake!!??au una du ze niful hivyohvyo mipango ya mungu??.:A S 465:
   
 2. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama anamaliza kesho basi mnabaki Guest hadi kesho ili upate shughuli, au?
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unajua ujengele siku hizi mambo yamewekwa wazi zaidi, tunashukuru kwahilo!honestly, mi simwachi hata kidogo!principle yangu ni kwamba umeshaingia kwenye tope basi ni lazima uchafuke!Kama Plan A imefeli basi jaribu Plan B!unajua bana wakati mwingine hawa mabinti wanaongea lugha ya kiutu uzima, kuwa huku mbele leo hakufai lakini ukichekecha vizuri kumbe unagundua kuwa anataka uende banda la uani!
  Hata kama hayuko tayari kwenda banda la uani basi, kuna mambo mengi tu: mwambie apige vuvuzela au chochote tu ili mradi akutapishe!!!!!!!
   
 4. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ebwana eeeh!! kumbe, nshapata gear hata kwa kuweka tomato sauce!
   
 5. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tomato sauce hata kwa nyani?
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha! Ujengelele umepinda mtu wangu lakini mimi na suluhisho lingine kama anamaliza kesho inamaana zimesha pungua sana kutoka kwahiyo anatakiwa kuingia ****** na kuiosha vizuri na mchezo unaendelea kama kawa.Angalia madadapoa kila siku wako kazini hujajiuliza wanafanyaje wakiwa mwezini?
   
 7. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  hehe haaaaa boys now nawasoma vizuri kumbe ndo mpango mzima mmmh
   
 8. RR

  RR JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mi kabila yangu inaruhusu kula kisusio...:hug:
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna mmoja alivaa pedi nakuipaka lipstic nyekundu nikamwambia hamna damu ya rangi hii.
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  we royaroy wewe mmh
  aacha habar zako
   
 11. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kumbe ndo mnafanyaga hivyo!wengine huwa tunakuwa kama tomaso, hatuamini mpaka tupime oil kidogo ili tupate uhakika
   
 12. RR

  RR JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  He umeniona huku??
  Basi naacha....
   
 13. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  omg..
   
 14. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sasa kama king'ang'anizi utasaidiawaje? hiyo ndio dawa yake!
   
 15. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Uwiiii...we rijamaa ribishi hivyo! eeh!
   
 16. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Na mchezo ukaendelea kama kawa eti nataka kila siku ndio maana akafanya vile.
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Kama kesho ataenda kusemaje kwao?hapa ni mawili uingie hivyohivyo au umuache naukimuacha ndo imekula kwako!!!Mhnnnnn wenye masazo yao wameshakimbilia uwani mimi sijamaanisha ukikuta anavuja uigie topeni ila nyie wadudu mnapenda topeni mhn!
   
 18. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kumbe demu mwenyewe 'sidanganyiki' ?
   
 19. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Namuaga nimesahau simu moja reception, then nakimbia duka la jirani na kuchukua pembejeo za sex...!

  Shauri yako kama una familia na hukuaga....! Waweza kuta huko kunavunjika...!

  Duh...! Hapo red, imenifundisha kitu....!
  Lakini, hapo green ndio nini?

  Shauri yako na wewe...! Maana wengeine watakwenda uani, au utapigishwa vuvuzela...! Halafu utambe eti sikufanywa....!

  Ndio nini hii?
   
 20. Mpenda Kwao

  Mpenda Kwao Senior Member

  #20
  Oct 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi mkuu hujawahi kudu ze nidful na dem aliyepo kwenye period? The thin is very hot you can't imargine. Since nobody will die try atleast once but with protection. Mimi nilikumbwa na issue kama hiyo halafu ilikuwa first time na mrembo alikuwa anafly the coming night to Europe for three years!!
   
Loading...