Je, uliwahi kuwa na mahusiano na Mwana JF?

Mwenza maswali usiulize.
Yes nilikua naenjoy sana kuwa nae tatizo nikaja gundua Ana gf nikajitoa hapo. Najua ananipenda na anataka hata sasa hivi turudiane ila huo muda sina kwanza nshasajili wakubwa wake watatu mtaani.
Mwenza mimi kwakweli lazima niulize swali, unafikiri raha kunyima wenzio ubuyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenza maswali usiulize.
Yes nilikua naenjoy sana kuwa nae tatizo nikaja gundua Ana gf nikajitoa hapo. Najua ananipenda na anataka hata sasa hivi turudiane ila huo muda sina kwanza nshasajili wakubwa wake watatu mtaani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwenza hii kama naikumbuka uliiongelea humu
Mweeeh haya mambo mbona yanakuwa mengi hivi.

Mwenza huo ni uhujumu, mimi sina hata mmoja alafu wewe unasajili wa3!! Namuomba mmoja basi.
 
Aweèeeeeeee. Hongereni sana mkuu
Mwahija mtoto wa kikurya, toto jeupeee... Daaah ilianza kama utani vile nilikuwa naLIKE sana nyuzi zake, siku moja nikakuta meseji PM, tukachati mawili matatu mwishowe nikaomba namba ya simu, naye mtoto bila hiyana akanipa, tukaisahau jF kwa muda, tukawa busy Whatsapp mtoto kujitumia picha nikasema Mungu ni Mwema kwa kweli sikuamini hata kidogo mpaka siku tulipoongea kwa VideoCall nikajiridhisha pasipo na shaka kuwa she is beaut. Tukapanga siku tuonane, ile siku nilifika eneo la tukio kwa tahadhari sana, mpaka nilipoona mazingira si hatarishi nikajisogeza na ratba zingne zikaendelea. Kwa kifupi alikuwa anaishi kwa dada yake hapa Dar, naye alikuwa amemaliza chuo na kufanikiwa kupata kazi ofisi fulan maeneo ya posta. Na hapa ninapoandika post hii yeye anamuogesha kabinti chetu.

JF idumu... Idumu... Idumu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom