Maziwa huuzi?Nauza soda kwa wana wa comment section
Pamoja mkuu mpak kielewekenilimuuliza jana tu kama ana sms akajibu ndio.
nikamuomba nimtumie mtu sms ili anipigie mimi sina kila kitu
akanipa simu vizuri, nikaandika sms nikajitumia[emoji23][emoji23][emoji23]
safari ikaanza jana saa tisa mchana kulaleki...
wengine wanajileta wenyewe marejesho yanawaua
View attachment 2899058
Show show mkuuNafanya kazi TCRA na kweri akawa ananiona natokea kweny lile jengo kumbe natumwa tu documents akajaa nikaweka ila nilikamia sana mechi mtot akaelewa show alikuja kuambiw ukwer na rafik yake ila asikii ambiwi na akipelekewa umbea anakuj kuniambia
Du tatizo bil uongo huwpatiJana tu hapo vurugumechiView attachment 2899069
KivupiUkitaka kujua wanaume ni waongo kuliko wanawake ni kwenye huu uzi
Hahahaa da we kibokojanamke fulani hivi shankupe lililoshindikana! nikaona hili bili itifaki za mzee faki silipati! halahala kama kikaangio cha chapati..
nilivyomshenzi wa tabia baada yakupata namba yake nikaanza kujisifu kuwa mimi ni fundi chupi!, mwanaume hasidi niliefundwa kwenye unyago wakinyamwezi! sio tu kwamba ni mbobezi wakukobea bali pia ni fundi wakuchelewesha!..
kama ni mpira basi mimi ni namba ile chafu ambayo ushindi lazima upatikane kwangu!,nikajitapa kuwa mimi ndie msubiriaji nisiekojoa kabla hajakojoa!..
si akadata siku yatukio ilikuwa ni tako tatu wazungu chwaa!.. shangingi hana shipa la siri siitwi tena fundi wakuchelewesha bali fundi chwaa!
Dah hapo. Dom sasfika rwanda sema nimfahamu daimond na namba yake hii hapa.unachukua mtoto.
ukifika kwa mama kizimkazi tangaza ndoa.
ukifika uchagani jifanye mtu wa biashara na taasisi.
ukifika dodoma we kuwa kichaa ndio makao makuu.
ukifika ccm geuka chawa kuna watoto wazuri sana
😂😂 ww nomanilimuuliza jana tu kama ana sms akajibu ndio.
nikamuomba nimtumie mtu sms ili anipigie mimi sina kila kitu
akanipa simu vizuri, nikaandika sms nikajitumia😂😂😂
safari ikaanza jana saa tisa mchana kulaleki...
wengine wanajileta wenyewe marejesho yanawaua
View attachment 2899058
Wanawake ni waongo kupitiliza.Ukitaka kujua wanaume ni waongo kuliko wanawake ni kwenye huu uzi