Je ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu aliyekosea namba kwenye simu yako?

Haya makitu bana,

Mi nimesha pita na mabinti wawili aise,
lakini bahati Mbaya sikudumu hata na mmoja kati yao.
 
Alipata ajali akapiga namba yng badala ya uncle wake bahati mby nlikua mbali na alikokua yy so nikamtuma rafiki yng alikua Tanga akawahi hosp na siku ya pili akawapata nduguze tukaendelea kuwasiliana then tukakutana na urafiki ukazaa mahusiano after 3 years we decided to go different ways but 4 good mpk sasa she z my best friend ever tunawasiliana kila mara na ameshaolewa siku ya harusi yake nlikuepo pia but wanaonijua ni kaka na dada zake mumewe kanisikia ila hanijui kwa sura tehe tehe umenikumbusha mbali sn.
 
I dont entertain advances from men and especially strangers.

Wrong number? Apologize and move on.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Sijawahi na spendi itokee; m2 akikosea namba na akawa anaishi ninapoishi - najitahidi namuona ila yeye asinione
 
Mimi sijawahi, ila mfanyakazi mwenzangu wa jinsia yakiume ameoa mwaka jana na mwaka huu mwanzoni wamepata baby gal, huyo mke wake walikutana that way!
 
yani tungekuwa tunafahamiana ningehisi umeleta stori yangu, mimi na mume wangu ndo tulikutana namna hyo
 
nishawatoooomba sana wa hivyo..... Na mechi nimeuza najutia sana...
 
Dah!, hii nakumbuka ilinitokea siku moja, nikakutana na demu ana very romantic voice nilipomuuliza upo wapi akajibu yupo ktk mkoa mkoa ambao ndipo nimemalizia Chuo. Kipindi hicho na mimi nilikua nina kimeo ambacho inatakiwa nikakitoe kama wiki moja inayofuata. Basi ikawa ni full kucare na full kuumia nikisikia sauti yake. Dah kimbembe kikaja siku nilipomuona, lol demu alikua mbaya mpaka nikaona aibu ila nilimudu kuzungumza naye kisha nikamwambia ukweli tu, tuwe kaka na dada. Sasa kimbembe kikaja kutokea....
 
Back
Top Bottom