Je, ulishawahi kula ada ya shule/chuo? Tuambie uliirudishaje

Nilipewa mil. 1.6 nikalipie ada na michango mingine. Dah! Nilikula laki 6.

Nilikuwa nasoma day.
Baadae nikadanganya kuwa F6 wote wameambiwa tuhamie boarding ila lazima tuchangie pesa zaidi.

Hiyo ikanisaidia kurejesha nilizokuwa nimezipiga. Alafu nikahamia geto la rafiki yangu mmoja nikanunua misosi tu yakutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna pesa ngumu kulipa kma ada, nlikula milioni moja chuo, nkitegemea ntairudisha. at the end of day sikua na kitu na chuo wanadai chao.. nkauza pc, cm 2 na kukopa nyngne .. nilijuta sana. mpka sasa vijana wangu ada nalipaga mwenyew, mdgo wangu alie chuo ada pia nalipa mwenyew, sitaki yanikute ya muosha huoshwa.

Daahh bora ulipitia mapema. Si unaona sasa upo aware

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipewa mil. 1.6 nikalipie ada na michango mingine. Dah! Nilikula laki 6.

Nilikuwa nasoma day.
Baadae nikadanganya kuwa F6 wote wameambiwa tuhamie boarding ila lazima tuchangie pesa zaidi.

Hiyo ikanisaidia kurejesha nilizokuwa nimezipiga. Alafu nikahamia geto la rafiki yangu mmoja nikanunua misosi tu yakutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu apo ulitisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipewa hela nikanunue sare za shule Tandika-temeke,kabla sijafika nikawakuta wahuni njiani wanacheza kamali,nikacheza wakanila,nikaanza kuidai nilipigwa bonge la banzi
 
Vyeti vya Mkwawa vilipelekwa Ifunda na huko Ifunda ofisi iliyokuwa inahifadhi vyeti iliungua moto na vyeti viliteketea kwahiyo cheti cha form six huna.
Cheti changu cha kumaliza mkwawa nilichukua Ifunda 2007.
Duuhhhh....mwanangu mie ndio nilikuwa najiuliza nikienda mkwawa naanzia wapi kuuliza chet cha form 6 graduate wa 1996.....wavivu wa fikra weshageuza shule kuwa university na wamepoteza na kuharibu historia za maisha ya watu.

sasa ifunda ndio hapo vyeti vimeungua....shubaaaaamiti.
Teh teh teh teh 🤣🤣🤣🤣 dah! Mkuu huchukua cheti toka 1996? Mpaka kikaungua? We noma aisee teh teh 🤣🤣😂😂😂
 
Kitu kinachoniuma ni kwamba upumbavu nimeunza nikiwa mtu mzima kabisa,
Nje ya mada kidogo lakn yote kwa yote nikutumia pesa ya makaz flan.
Hadi mda huu nishakula kodi mara ya tatu mwez mmoja huu tu najisemea naipata natumia kidogo hadi inaisha.
Pombe jamn jamn

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi nilikula pale MWANZA BABPTIST, sasa ishu ikawa,kulikuwa na mwalimu wa ambaye ni mzungu anaitwa Mrs Giddens..ndio alikuwa mwalim wa darasa aisee alifuatilia hadi aibu.mzee nyumbani anajua ada amemaliza nikaona nitunge uongo kwa mkuu Mwakanemela,nikamkomalia kuwa nimelipa ada yote ila sijapewa risiti...kwa ukweli .mkuu aligoma akasema hajaona ada yangu...sitasahau kabisa huo mwaka 2004,
Haha duh.shule yangu hii.
Pwahahaha ata Mimi niliwahi kula ada.10000 nilimalizia asubui siku ya kwanza ya mtihani wa form 4.mkuu itakua ulimaliza 2005 bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sijala ila nilitafuna vizuri huko mbele nilipofukuzwa sikuenda nyumbani bali nilienda kwa wajomba kuomba michango. Nilifanikiwa kupata ada na ziada pia lakini nilipoteza siku 5 ya masomo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom