richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,535
Jamani hela ya ada ni tamu sana
Sema ukishaila,huwa inakuwaga ngumu kuirudisha,,unaweza kujuta
Mimi nlishawahi kutumbua laki tano ya ada ya chuo ya semester ya pili
Niliitumbua kwa shopping tu yanii[emoji134] [emoji3]
Sema sasa nilijuta jinsi ya kuilipa kipindi cha mitihani kilipofika
Thanx to "my papuchi jamani"
Loooooooh inasaidiaga sometime[emoji108] [emoji38]
Jamani msile ada awamu hii ya tano mtatumbuliwa[emoji23] [emoji23]