Je, uko tayari kufa kwa ajili ya dini?

Dini si inatoa mafundisho yake kwenye biblia? na wewe hizo habari za Yesu pia si umezitoa humohumo kwenye biblia?
Maana ya dini ni njia ya kumtafuta hivyo basi njia imekwisha patikana tayari ambayo ni Yesu.
 
Back
Top Bottom