Je, ukisoma Information technologies (IT) hakuna ajira?

Je, ukisoma Information technologies (IT) hakuna ajira?

Mkuu yaani usome IT Alafu uwaze tena ajira? Are you serious kweli?
Watoto wa sikj izi kila mtu anawaza kuajiriwa tu kak, kuna dogo I used to mentor nilimuuliza anapenda kitu gani (wakati huo alikuwa kidato cha tatu kama sikosei) kaniambia Daktari namuuliza kwanini anasema ni rahisi kupata kazi 😂😂😂😂😂😂
 
Kazi zipo mkuu
Makampuni almost yooote siku hizi yana IT. Upande wa serikalini,au taasisi,kwenye utalii,ukijiajiri...uskae kiree, izo zipo shaaazy
 
Back
Top Bottom