Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 24,487
- 34,535
Baada ya Uhuru kupatikana, Baba wa Taifa alisema tutawasha mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro.......
Lakini tangu tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi, wanasiasa wa Upinzani wamesusia kutambua na kutahmini dhima ya Mwenge wa Uhuru na hata kugomea kabisa kushiriki shughuli za Mwenge pale unapokuwa unakimbizwa nchini.
Mwenge wa Uhuru
Hii ni dalili tosha kwamba hawa UKAWA na vyama vya upinzani hawatambui na kuthamini juhudi za wazee wetu kupambana na mkoloni hadi kupata uhuru wa nchi yetu.
Najua, wengi mtasema Mwenge umepitwa na Wakati. Lakini mmesahau kwamba Mwenge ni shughuli inayounganisha jamii bila kujali tofauti zao kisiasa, kikabila na kiimani. Leo wapinzani wanapoga propaganda kuwa Mwenge wa Uhuru ni upotevu wa wakati na Rasilimali. Mimi hilo nalikataa kwa sababu Mahala unapopita Mwenge wa Uhuru kunakuwa na miradi ya maendeleo inayozinduliwa ama kukabidhiwa kwa wananchi.
Tunaweza kuboresha dhima ya Mwenge lakini siyo kubeza.
Upinzani usidhani kupewa dhamana ya uongozi ni kuwa na hakimiliki ya kufanya utakayo bali lazima tujikite kwenye isingi ya Katiba na kuheshimu sheria za nchi.
Jitokezeni kuupokea Mwenge wa Uhuru kila unapopita