Je UDSM wameanza kupokea maombi ya kujiunga?

Je UDSM wameanza kupokea maombi ya kujiunga?

navyoona bado hawajaanza coz hawaja announce chochote ,website yao ni tupu
 
Naomba kunijuza kama ni kweli diriha la udahili udsm Halijafunguliwa maana kuna tetesi nyingi mitataani zinatatiza.
 
Back
Top Bottom