Je, ubahili na mapenzi vinapatana?

Je, ubahili na mapenzi vinapatana?

ongeza sauti.
Volume ifike 1000 Kuna watu hata majukumu tu ya kawaida hawataki , hata upate tabu iwe dhiki anakutazama tu anafanya yake sasa ubahili wa namna hio kweli jamani?
Shida hata nyie wanawake mkiwa na fedha ni ngumu sana kuwasaidia wapenzi wenu wa kiume. Sheria ya ndoa imeweka wazi kabisa kwamba kama mpenzi wako hana kipato kwa wakati huo, hata wewe una jukumu la kutoa matunzo ya aina yoyote kwa mwenza wako mpaka pale hali yake ya kifedha itakapotengamaa. Ujue Kazi ya mke ni kumtunza na kumlea mume wake. Si kazi rahisi. Wanawake hao ambao hawatambui sifa hii ya wajibu wao, wataona vigumu katika kutimiza kazi hii. Ni kazi ya mwanamke ambaye anatambua kwamba kazi hii inahitaji kiwango fulani cha busara, mtindo na ustadi. Kwa mwanamke kuwa mke aliyefuzu, lazima auteke moyo wa mume wake na kuwa chanzo cha furaha kwake. Lazima amtie moyo katika kutenda matendo mema na kumshawishi asifanye matendo maovu. Lazima pia mke achukue hatua za kutosha kutunza afya yake na ustawi wake. Matokeo ya bidii yake yanaelekezwa katika kumfanya mume awe mwema na anaye heshimika ambaye atastahili kuwa mlezi wa familia yake, na baba mzuri ambapo watoto watapata mwongozo na heshima. Mwenyezi Mungu, Mjuzi wa yote amemjaalia mwanamke uwezo usio wa kawaida. Mafanikio na furaha, na pia mateso ya familia yapo mikononi mwake.

Mwanamke anaweza kuifanya nyumba kuwa pepo ya hali ya juu au jahanamu inayowaka moto. Anaweza akamfikisha mume wake kwenye kilele cha mafanikio au balaa isiyofaa. Mwanamke mwenye sifa alizopewa na Mwenyezi Mungu, ambaye anatambua wajibu wake kama mke, anaweza kumnyanyua mume wake kuwa mtu wa kuheshimika hata kama alikuwa mtu wa chini sana kuliko wote.

''Wanawake wanao uwezo wa ajabu ambao kutokana nao wanaweza kupata chochote wanachotaka.”
 
Asante kwa ushauri maana bado sijaolewa.

  • Thanks
Reactions: Sax
Date na mtu ambaye atleast mnaenda kipato coz unadate na mtu matumizi yake kwa siku ni bajeti yako ya wiki...
utaishia kuitwa mbahili... 😉 😉 😉
 
Uwa nakasirika sana pale napoona mwanamke hana cha kutoa zaidi ya pussy yake,namwonea huruma yeye mpaka wazazi wake.
 
Back
Top Bottom