Nenda karekebishe basi, tena mapema/haraka sana. Tusipotezeane muda hapa. Hakuna sheria na katiba hapa duniani ambazo ni kamilifu kwa asilimia mia.Unaposema "Sio mimi, ni sheria."Utakubaliana na wanaosema sheria na katiba zina mapungufu na vinahitaji marekebisho mapema/haraka?
Umeelewa ulichosoma? Kama hujaelewa omba ueleweshwe siyo kujidai unajuwa na huku hujui.Jaji katumia kifungu gani cha sheria kumwachia mbowe? Kiukweli jamaa alihepa dhamana na sheria iko wazi kwa mtu aliyeruka kihunzi, sasa Mheshimiwa Jaji katumia kifungu kipi kumwachia? Au yaleyale ya pilato?
Hapa tatizo halikuwa sheria kutokuwa kamilifu. Issue hapa ni uvunjaji wa sheria alioufanya hakimu Mashauri na akapandishwa cheo.Nenda karekebishe basi, tena mapema/haraka sana. Tusipotezeane muda hapa. Hakuna sheria na katiba hapa duniani ambazo ni kamilifu kwa asilimia mia.
Nenda karekebishe basi, tena mapema/haraka sana. Tusipotezeane muda hapa. Hakuna sheria na katiba hapa duniani ambazo ni kamilifu kwa asilimia mia.
Unataka aseme mara ngapi, ndio maana darasani wa kuvuta mkia hakosekani. Watu walijipeleka wenyewe mahakamani tarehe iliyofuata bila kupelekwa na polisi, utasemaje wameruka dhamana?Jaji katumia kifungu gani cha sheria kumwachia mbowe? Kiukweli jamaa alihepa dhamana na sheria iko wazi kwa mtu aliyeruka kihunzi, sasa Mheshimiwa Jaji katumia kifungu kipi kumwachia? Au yaleyale ya pilato?