Je, TV hii inaweza kutengenezeka?

Je, TV hii inaweza kutengenezeka?

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,640
Reaction score
2,233
Hali halisi ni kama inavyoonekana kwenye picha, mawimbi upande wa chini. Bado sijajua chanzo ni nini ila nahisi watoto waliharibu.

Natanguliza shukran.
20191128_200217.jpeg
20191128_200212.jpeg
 
Ninachotaka kujua ni jee inatengenezeka? Hii ni HD na ni Nchi 49.
 
Kioo kibovu.itakua kuna mtu alioshea maji au manyunyu ya mvua yaliidondokea.badili kioo
 
Naomba mawasiliano ya fundi kama hautojali
Hapo ni ishara ya mwanzoni kuwa kioo ndio kinakufa hicho(baba jeni bai bai) gharama ya kioo inaweza kuwa robo tatu ya thamani tv hiyo mpya!!!
 
Mimi ni fundi ila kwa hilo lichannel hapana baki na shida yako
 
Back
Top Bottom