Je tutegemee kiwango cha Joti kushuka?

Pundugu

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
212
569
Kama inavyofahamika kuwa mtu anapokuwa na majukumu mengi hususani ndoa huwa anakuwa serious sana.Hii inatokana na mambo mengi yanayomkabiri mtu ikiwemo magomvi ya hapa na pale, ni kawaida kwenye ndoa, je inawezekana mtu kaamka na hangover ya ugomvi na wife akaigiza vizuri.
Karibuni.
 
Na huku ataigiza kwa hisia na muhali mkubwa,knowing majukum yameongezeka na familia itazidi kukua.speed ya utaftaji ndo inazidi ongezeka

Hayo mambo ni zama za kale......siku hizi stress zikizidi ni kupiga chini haijalishi ni dini gani
 
Hivi vengu bado anaumwa jamani?nimejikuta namkumbuka sa hivi
 
Joti amebariki ndoa tu anaishi na mwanamke na ana familia siku nying
 
Ndoa ni ugomvi nini? Naona unazungukia hapo tu.
 
Hivi vengu bado anaumwa jamani?nimejikuta namkumbuka sa hivi
Yu hai. Bado anaumwa. So sad. Bado anapigania afya yake. Ktk harusi ya Joti amewakilishwa na nduguze wawili, wa kike na wa kiume!
 
Kiwango chake sasa kitapanda kapunguziwa kazi ya kupika kufua kudeki msosi wa uhakika kwanini kisipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…