Sema!! Kuna tawala zina roho mbaya risasi 32 mwili mmoja tu!!!Tunajenga taifa la mauaji kama mlivompoteza Ben saanane!!!
Unamnanga boss wako.Vipi usafishi mikojo tena.Tuna jenga Taifa la aina gani? Hili ni swali nimeamka nalo na lina nitesa moyo wangu hata nisipo andika ila vizazi vijavyo vita andika.
Kule tuna elekea naona kuna jambo linakuja na lina tisha sana naukumbuka Uzi wangu nilio wauliza Watanzania itakuwaje Mh Rais wa sasa akiwazidi akili nakuwa acha mkijiuliza maswali magumu. Leo nazidi kuuliza je tunajenga taifa la aina gani?
Mimi naogopa sana na mtu yeyote mwenye akili aje hapa anisaidie kutafakari. Sisi sote tunaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria na hakuna kiumbe yupo juu ya sheria.
Tumetunga sheria ya mitandao na imetuacha wote vinywa wazi na sasa kila mtu anajuwa anapo ongelea na sasa wale wanaishambulia nchi wengi ni unknown Peoples sii tena imetusaidia ila imezidi kuongeza watu wasio julikana jambo naona kiusalama ni hatari sana.
Hatuja kaa vizuri imekuja hati nyingine spika na viongoz wengine wakuu kutoshitakiwa kikatiba hivi najiuliza do we know impact of this by law? Ndugu zangu tukamfufue Mzee Nyerere hii sio picha nzuri tusali tusali tusali tusali hatupo salama alie juu anaweza kufanya lolote na hakuna wakumuuliza ndugu wa Tanzania Mzee wetu hayati baba wa Taifa alitawala muda mrefu ila hakuwahi tunga sheria zakumlinda why new leader ambao wanatawala just for ten year wanaweka sheria nzito kuwalinda kuna nini nyuma ya yote haya? Upo wapi usalama wetu sisi Raia wanyonge kama mtu akisha kuwa na nafasi kubwa ya kitaifa hashitakiwi najiuliza hii nisheria ya taifa gani lililo staarabika duniani?
Je tunarudisha zama za wafalme na Machifu walio tawala nakuwa na nguv mpaka chukua wake za watu na kamwe hawakuguswa? je tunajenga taifa gani? Taifa la Watanzania waoga wasioweza kujieleza wala kosoa jambo lolote wanaona haliposawa serikalini?
Sioni kama ipo sawa tangu 2015 kunasheria zimetungwa ukizisoma nihatari kwa walaji embu angalia sheria ya Tax administration 2015? Embu nenda kasome sheria ya takwimu God remember we Tanzanian. Wewe ni Mungu kwetu.
Walionywa awakusikia leo tunaumia wote,na mbele ya pesa ni lzm upiteuSince day one tulisema huyu mtu sio sahihi kwa nafasi aliyopewa. Ila mkamvika na kilemba cha ukoka kuwa ni mzalendo. Sasa ameshajipatia uaminifu bandia ndio anazidi kufanya yale tuliyoonya kwa uwazi. Mliosababisha afike hapo hamna uwezo wowote wa kumzuia mnaishia kuja kulalamika na sisi humu ndani.
Uelewi unachokiandika.Naona hisia za dhati ndani yako @tuiniEli,lakini nitajenga hoja mbili Tatu hivi kuonesha namna nyingine ya kuwaza.
1.Elimu ya Mtanzania ni ya kuazima na mifumo mingi ya uendeshaji wa Serikali nayo ni ya kuazima.Hakuna ubaya kuiga kitu kizuri kutoka kwa mwenzio,lakini Uige ukiwa na ufahamu wa kutosha na ulinganishe na mazingira ya mahali iyo elimu inapotekelezwa.
-Sasa ukweli ni kwamba Tanzania ndo kwanza tunakuwa na vyuo vikuu walau idadi si mbaya sana na hivo vijana wetu wanaweza kujitambua na kutafsiri baadhi ya mambo kwa kufanya ulinganifu na mataifa mengine.
Hapa nataka kusema kwamba tulikuwa bado tunatawaliwa na hata Katiba tuliyonayo kwa sb ya mambo mengi ya kuazima kutoka Ng'ambo.
Hilo la borrowed ideas pamoja na Elimu ndogo kwa watu wetu ilitosha kuhitaji muda zaidi wa kujiandaa.Imagine,Wakati wa mchakato wa Katiba mpya miaka ya 2014/2015,wananchi wengi sana walikuwa hawajui hata cover ya Katiba ya nchi ilikuwa na range gani-Elimu na utayari wa waliowengi ni duni.
Mifumo ya uendeshaji nchi-nayo ni ya kuazima especially kitendo cha kutuendesha nchi kwa kutegemea misaada-Hakuna kitu kinaitwa msaada,ni ukoloni tu na kuishi maisha bandia.
-Dawa ni kitu gani-Ni kubadili namna ya kufulikiri kwa wananchi wote na zaidi sana-Vijana.
Kwanza vijana wengi waelimike na pili tutumie akili ktk kujitawala kiuchumi na ki sosholojia kulingana na mazingira yetu-Hapa kuna sadaka ya maumivu kwa wachache lakini ni maumivu ya muda mfupi-5 to 10yrs.
Ili mabadiliko ya fikra na mitizamo uweze kutokea,wale wanaondesha hayo mabadiliko yawapasa kutumia madirisha madogo ya Katiba mbovu ili kufanikisha iyo transformation-wakifanikiwa,watakumbukwa na watakuwa salama
Mf.Wakati wa Privatisation, serikali ilikuwa inapata mapato haizidi 50bn.Muda mfupi baadae Tbl peke yake iliweza kulipa mpk 70bn lakini waliowengi hawakupenda ile Privatisation kwa sb ilileta mambo redundancy nk nk.
Ninachokiona mimi ndani ya utawala huu na faida yake ni mapinduzi ya kifikra kwanza na ukombozi wa kiuchumi na kujenga fahari ya Utaifa ndiposa tuunde katiba ya kile tunachokitambua na ambacho kimsingi ni chetu kwa kuwa tumekiunda wenyewe.
This time around kuna protectionism kwenye bidhaa zetu-Mfano uagizaji wa maziwa na samaki-Tutizame kwanza fursa hapo na mengine mengi ambayo kimsingi ni initiative ngumu lakini Serikali imejaribu kuthubutu.
Maybe am wrong maybe am right.
Mimi naogopa sana na mtu yeyote mwenye akili aje hapa anisaidie kutafakari. Sisi sote tunaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria na hakuna kiumbe yupo juu ya sheria.
************
Ni hivi Mkuu yapo machache yakufikiria, kuwaza na kuwazua kujua kinachoendelea
Labda tujiulize machache dhidi ya katiba ile ambayo wengi mmelua mkishadadia kwamba tulikua tunaendeshwa kwa misingi ya SHERIA na katiba;
1. Sheria ilikua wapi mkuu tulipokua tunatoa magogo Tanga kuyapeleka Mombasa kisha kuyarudisha tena Tanzania ili yaonekane ni imported?
2. Sheria ilikua wapi wale Twiga walipokua wanapanda ndege kwenda ughaibuni?
3. Katiba ilikua wapi bandari ilipogeuka chumo la wezi na walarushwa?
4. Sheria ilikua wapi Mafuta yalipokua yanatolewa Bandarini kwa kibali cha transit yakapelekwa hadi Mbeya kisha yakarudishwa Chalinze kumwagwa kwenye petrol station?
5. Katiba ilikua wapi kuwamulika waliozifanya ofisi za Serikali kama vibanda vyao binafsi vya kujitajirisha?
ANGALIZO
Naomba usiniletee stori za Serikali ilikua ni ya CCM.
Sasa basi kinachofanyika ni kile wazungu wanachosema THE END JUSTFIES THE MEANS kwa ukiritimba na umangimeza wa Sheria tulizonazo Rais Magufuli asingeweza kufanya hata 1/10 ya alichokifanya Kama angehitaji kufuata mlolongo wa sheria.
Mfano mdogo tu PPRA Act inasema hakuna manunuzi yoyote kufanyika bila kupitishwa na Bunge moja lakini mbili lazima kuwe na Proforma invoice tatu za kuonyesha ushindani na the lowest bider ndiye atakayepewa tenda.
Unadhani ingeichukua Serikali muda gani kupitisha?
1. Ununuaji wa Ndege
2. Ujenzi wa SGR
3. Ujenzi wa Bwawa la Umeme mto Rufiji
4. Ujenzi wa vituo vya afra na hospitali za Wilaya na mikoa pamoja na ujenzi wa nyumba za watumishi?
5. Unadhani ingehitaji malumbano kiasi gani kupitisha ujenzi wa Daraja la mfugale, Ubungo, salenda, kivuko cha Mwanza, ujenzi wa meli nk?
Kama sheria ilikuwepo na haikusaidia kupambana na uhalifu vipi Kama Sheria haitatumika kuzuia maendeleo ya nchi hiyo hiyo?
Tatizo ninaloliona Mimi ni kwamba uwepo wa Sheria nzuri si kinacholeta maendeleo bali uwepo wa kiongozi imara ndio kunakoleta maendeleo.
NADONDOSHA MIC
Dawa ni sanduku la kura ndilo litakalotibu maradhi yote haya. Tatizo la sanduku hili kwa sasa ni kura yako kutokuwa na nguvu wala dhamani. Mazingira ya kulifanya sanduku la kura liwe huru ni mabaya na "biased". Tunaelekea kusikojulikana.Tuna jenga Taifa la aina gani? Hili ni swali nimeamka nalo na lina nitesa moyo wangu hata nisipo andika ila vizazi vijavyo vita andika.
Kule tuna elekea naona kuna jambo linakuja na lina tisha sana naukumbuka Uzi wangu nilio wauliza Watanzania itakuwaje Mh Rais wa sasa akiwazidi akili nakuwa acha mkijiuliza maswali magumu. Leo nazidi kuuliza je tunajenga taifa la aina gani?
Mimi naogopa sana na mtu yeyote mwenye akili aje hapa anisaidie kutafakari. Sisi sote tunaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria na hakuna kiumbe yupo juu ya sheria.
Tumetunga sheria ya mitandao na imetuacha wote vinywa wazi na sasa kila mtu anajuwa anapo ongelea na sasa wale wanaishambulia nchi wengi ni unknown Peoples sii tena imetusaidia ila imezidi kuongeza watu wasio julikana jambo naona kiusalama ni hatari sana.
Hatuja kaa vizuri imekuja hati nyingine spika na viongoz wengine wakuu kutoshitakiwa kikatiba hivi najiuliza do we know impact of this by law? Ndugu zangu tukamfufue Mzee Nyerere hii sio picha nzuri tusali tusali tusali tusali hatupo salama alie juu anaweza kufanya lolote na hakuna wakumuuliza ndugu wa Tanzania Mzee wetu hayati baba wa Taifa alitawala muda mrefu ila hakuwahi tunga sheria zakumlinda why new leader ambao wanatawala just for ten year wanaweka sheria nzito kuwalinda kuna nini nyuma ya yote haya? Upo wapi usalama wetu sisi Raia wanyonge kama mtu akisha kuwa na nafasi kubwa ya kitaifa hashitakiwi najiuliza hii nisheria ya taifa gani lililo staarabika duniani?
Je tunarudisha zama za wafalme na Machifu walio tawala nakuwa na nguv mpaka chukua wake za watu na kamwe hawakuguswa? je tunajenga taifa gani? Taifa la Watanzania waoga wasioweza kujieleza wala kosoa jambo lolote wanaona haliposawa serikalini?
Sioni kama ipo sawa tangu 2015 kunasheria zimetungwa ukizisoma nihatari kwa walaji embu angalia sheria ya Tax administration 2015? Embu nenda kasome sheria ya takwimu God remember we Tanzanian. Wewe ni Mungu kwetu.
Hata majumbani kwetu tuna taratibu. Tunaswali kwanza kabla ya kula. Tunanawa kwanza kabla ya kula, n.k. Huwezi kuruka taratibu kwa kisingizio cha kuharakisha mambo.Mimi naogopa sana na mtu yeyote mwenye akili aje hapa anisaidie kutafakari. Sisi sote tunaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria na hakuna kiumbe yupo juu ya sheria.