Mi ningejiuliza kwanza jee, tunaviwanda vya kutengenezea materials na kushona hilo vazi?
Jamani huu ujinga wa kuunda sijui vazi sijui kitambaa, vya nini? kung'uta suti kama wengine wote duniani walioamka, angalia Uturuki, Malaysia, Egypt, Israel, Korea, China, South Africa, Brasil, Canada, Russia na wengine wote waliostaarabika na vazi moja tu la Dunia Suti na tai basi au mnataka kuvaa lakini bila tai kama Iran? up to thinkers
mhh sio kweli kwamba southa africa na hao wengine hawana vazi la taifa,wanalo ndugu zangu,karibu nchi zote wanamavaz ya mataifa yao!na kwa hapa kwetu ni muhimu pia tukawa na vazi ambalo mtu akivaa atajulikani popote kuwa ni mtanzania,na kinachoangaliwa sio vazi kama vazi,ila kitambaa,ndio kitakuwa cha aina moja halafu vazi kila mtu atakuwa huru kushona kitambaa hicho anavojisikia,haiwezekani liwekwe vazi la aina moja,maan kila mtu na mavaz yake,likiwekwa la aina moja litawanyima uhuru wengine,na kuhusu ubora wa kitambaa ni kwel pia lazima uwe wa viwango tofaut,haiwezekan vitambaa vyote viwe vya quality sawa,maan kuna matajiri,watu wa kati na akina salito ambao hali si hali,ili twende sawa kila mtu lazima atendewe haki kwa kuwekewa kitambaa atakachoweza kununua,kwahiyo me naona ni jambo jema kuwa na vazi la taifa...ni hayo tu..
kwanza nashangaa sana,yan hadi tunafika miaka 50 ya uhuru hakuna vazi la taifa!its amaizing,pia nawashangaa hao wapendekezaj et liwe vaz la kulingana na hadh ya mtu kwamba la mbunge liwe tofaut na wengine.Ushauri wangu vazi liwe la level moja kwa watu wote haijalish huyu ni mbunge na huyu ni mkulima.
Nakumbuka kuna mwaka TBC walianzisha watangazaji wake wavae Vitenge Vikoi na mazagazaga mengine ya kale sijui waliishia wapi maana sikuhizi wanakung'uta ki-ITV kwakwenda mbele. yaani Bongo bado kabisa tuachane nayo hayo tusimame kuinua uchumi
Sioni umuhimu wa Hilo vazi ama kitambaa
hizo Pesa wanazotumia kuandaa hivyo vikao vyao vya kujadili hayo naona zingetumika kununua madawati
Kama tatizo ni kitambaa tutumie vile wanavyofunga waMassai, vile vya rubega.
Vazi linajumuishwa na viatu au? Mi napendekeza viatu viwe raiyoo/katambuga