mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,852
Hauwezi kuwa kinyume na bosi wako.
Atakachokwambia ndicho utakachofanya
NI wazi tume ya uchaguzi imeegemea upande mmoja .huo ndo ukweli.
Kushindwa ni kawaida ila UNASHINDWAJE NDIO TATIZO..
Haiwezekani mwenzio umfunge mikono alafu umpige useme umeshinda

Kitu
Kitu kuwa huru na haki katika jamii ni kwa mujibu wa mlivyokubaliana kwa mujibu wa sheria au taratibu ktk jamii husika na ndio maana Kuna baadhi ya jamii mtu akishindwa kushiriki kazi ktk jamii anatandikwa bakoro
Na Sisi kama Tanzania ili kitu kiwe huru na haki ni lazima kitamkwe ktk katiba yetu,hivyo time yetu iko huru kabisa hata kama Kuna mambo hayako sawa cha muhimu ni kuomba kufanya mabadiliko ktk hizo sheria.